Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hakika tunaisubiria tena sana, na kama kweli kiba alishafanyia video S/ A target yake ilikuwa ni nini?? coz haikuhit, hivi kweli ukafanyie video kusini alafu sokoni iwe kawaida plans na goals zilikuwa nini??

na ndo maana alipata project ya one8
kwani kipindi kile si kulikua na wasanii wengi tu
enzi zake mbona ilitamba sana mack muga au hukuepo kipindi hichooo...?!!!
hata kama hamumpendi aly k isifike kila kitu mnakashifu tuuu jamaniiii
mnaonekana dhahiri kwamba utoto na roho mbaya zinawasumbua bora bas usikomment maana wengine tunatumia fake ids ila usemacho ndivyo ulivyoo
 

Attachments

  • 1417725580920.jpg
    1417725580920.jpg
    35.6 KB · Views: 41
Huyu kwa mtindo huu hatopata mafanikio ya kimuziki! Sidhani kama ana management!
 
hahaaaaaa!! bwa sheh umtunze tu mdogo wangu nifah asijerudi kutulilia hapa

Aje kulia? Hiyo haitotokea kamwe, atakuja kushangilia tu hapa. Maisha ya nifah ni wajibu wangu, namlea vizuri.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom