Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nilikuqote wewe!ukaanza kuvurumisha mawe!!Siwezi kujisifu matusi kama kawaida yenu!!I don't care whether iuna PHD ya matusi au ya ngono!!Hoja yangu inabaki pale pale Kiba is the best!!Mwache Abdul auze sim used ila video ya mwana is on its way!

Foleni ya Upanga leo ijumaa imenikata stimu saa nzima natafuta kuchepuka nikitulia nitarudi hapa kuwashikisha adabu visabengo wote.
 
nifah jamani where are you mpenzi???? miss youuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe ni legend wa hapa javini utakumbuaka wakati huu Uzi unaanza nini kilikuwa kinazungumuziwa ,
1.lengo la uzi ilikuwa kumshauri kiba apige hatua kimuziki .then uzi ukabadilika ukawa "discussion and argument" mpaka sasa ndio kinachoendelea hapa who is correct and wrong ? ukubali ukatae kiba anafanya muziki ashindane na diamond "na diamond the same anafanya hivyo hivyo kumbuka hatukati kushindana "development is due to ideas that contradict " wale professional wa general study mtani ni correct if am wrong " ......ila je kiba is best than diamond that is the question of interest ?
ofcourse Kiba is the best thus y doesn't depend on/create scandals before releasing his music!
 
Foleni ya Upanga leo ijumaa imenikata stimu saa nzima natafuta kuchepuka nikitulia nitarudi hapa kuwashikisha adabu visabengo wote.

fanya haraka urudi maana Diva Beyonce leo ndani ya nyumba, namuaminia anafanya mambo yanayoukosha moyo wangu
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kumwambia kweli itamuweka huru tu hawa wanajisahau sana ushabiki wa kawaida wanaweka matusi ha ha ha ha kejeli mwisho Tandale mjini kila mtu Ali Kiba the King


uwiiii "KING" jamani namuaminia sn
 
Atoto yale ulosema yanatokea!!ha ha ha,nakwambia mshumaa nimebutuliwa kulee baada ya umeme kurudi!!ngoja nikikite kwenye mada!!Ally kiba anaasababisha watu wanajisifu walivo viwembe!
 
huhuhuuuu nawadetiketia lisongi "mapenzi yanarun dunia", haya ndio maneno sasa, sio mnajifichaficha nini sasa??? we only live once u know!!! hahaaaaa nifah ulikuwaga unanishushua nn sasa?? kaone

Hahahaaa poleeee mimi mwenzio lile lilikua ni game nalicheza as a trick ya kumpima my Mdakuzi
Sasa wewe bila kujua nakutumia ukalicheza game vizuri hatariiii
Hahahaaa nilikua nacheka sana.
But,at the end of the day I appreciate Mdakuzi as a real man... alifaulu huu mtihani kwa kiwango kikubwa hadi nikashangaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Jembe langu!!Ulinichunia chuniii!!I missed u,ona sasa mtaa wa pili wanatapika nyongo!kisa 'Mwana'
Nipo kijijini huku KITAGUTITI so network inasumbua sana hadi nipande juu ya mti!
Juzi nimemtest home boy mmoja anirushie ngoma ya 'mwana'kwanza alinishangaa sana why sina hiyo nyimbo afu nimetoka town?nikamueleza hiyo nyimbo nilikuwa nayo but now nime format memory card yangu ....akanambia ok but lazima nimpe 500tsh coz yeye aliwekewa kwa 300tsh!
Nikamuuliza mbona mwezi uliopita ulinirushia wimbo bure?Akanambia tofautisha thamani ya huo wimbo na huu wa mwanadarisalam!
Nawambieni sio town to hata huku interior mwanadarislam unabamba sana
Ni hayo tu
 
Atoto yale ulosema yanatokea!!ha ha ha,nakwambia mshumaa nimebutuliwa kulee baada ya umeme kurudi!!ngoja nikikite kwenye mada!!Ally kiba anaasababisha watu wanajisifu walivo viwembe!


walaaa endelea tu mama, mi c mpika majungu!!!(hahahaaaaaa)
 
☺☺☺hivi hii ilikua wapi?

Kill music awards hiyo 2012 kama sikosei alipokea kutokana na wimbo wa dushelele kuchaguliwa kama wimbo bora wa rhumba
Umenikumbusha hii siku tulishangilia hadi majirani wakatushangaa...nimeanza kumpenda Kiba long time sana
 
Hahahaaa poleeee mimi mwenzio lile lilikua ni game nalicheza as a trick ya kumpima my Mdakuzi
Sasa wewe bila kujua nakutumia ukalicheza game vizuri hatariiii
Hahahaaa nilikua nacheka sana.
But,at the end of the day I appreciate Mdakuzi as a real man... alifaulu huu mtihani kwa kiwango kikubwa hadi nikashangaa!!!


hahaaaaaa!!! kwahiyo kumbe mlikuwa mnanitumia eeeh??? nifah mbaya wewe! ila nilistukia haka kamchezo ujue, machale yalindesa!!! mimi chapa weweeeeee
 
Last edited by a moderator:
Matola na geniveros naona leo walikua wanadeal na yule pashkuna first class amewaandikia magazeti mareeeefu mpaka huruma na bado!!Mwana tuuu maneno mengi kama report ya budget je ikitoka ngoma nyinginee!?

Hahahahaaa siku hizi hayo magazeti yake siyasomi wala nini,napita tu
 
Vyovyote utakavyo iwe shemeji au kaka ila sitaki kusikia eti 'shem darling...' uwiiiiiii nitakufa na mtu this time

hahaaaaa!!!! ucjali shemeji inanoga zaidi maana still yupo ndani ya familia si eti eeh?? ila aminia shem langu Mdakuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom