Ali Kiba Fans' Special Thread...

ofcourse Kiba is the best thus y doesn't depend on/create scandals before releasing his music!

Unapojibu swali kama hili inabidi uwe na free mind ..
Utofautishe talented person and hardworking personal
kama.mtu ni talented then akawa lazy ukubali ule utalented wake hauwezi onekana kabisa but kama una medium talent ukawa hardworker lazima uonekane talented hata kama unalazimisha ... Sasa mkuu kwa mtazamo wako binafsi kati ya diamond na kiba nani ni hard worker kwenye music kabla then we will estimate by deflection..from the inflection point..... Buku saba FC
 
Last edited by a moderator:
Kill music awards hiyo 2012 kama sikosei alipokea kutokana na wimbo wa dushelele kuchaguliwa kama wimbo bora wa rhumba
Umenikumbusha hii siku tulishangilia hadi majirani wakatushangaa...nimeanza kumpenda Kiba long time sana
Umenigaya wangu....afu tayari wajanja wameshakwapua!
ha ha ha haaaaaa!but ujanja sio kuwah
 
Woza Friday, another day another dollars.
nifah tangu jana nikipita kwa Le Mutuz a.k.a Le billionare kule Insta kuchungulia umbea nakuta account yake iko plain vipi vijana wameshamfanyia cyber attack? Maana hakuna hata picha ya mbebez mmoja.

Hata sijajua bado...Masikini le Mutuz watakua wamehack a/c yake wakafuta picha zote za wabebez wakarez maana wanamuonea wivu sana....
 
Last edited by a moderator:
Kill music awards hiyo 2012 kama sikosei alipokea kutokana na wimbo wa dushelele kuchaguliwa kama wimbo bora wa rhumba
Umenikumbusha hii siku tulishangilia hadi majirani wakatushangaa...nimeanza kumpenda Kiba long time sana

hiyo cku niliapa acpopata tuzo siangalii tena k.m.a, bahati yao wakamtendea haki
 
Tupo pamoja mkuu!basis on free mind who is the best talented person or hardworking person?then we will discuss...
 

Hahahaaa that's my girl Diva....
Unanifurahisha sana
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa waambie hao ma bush men
 
mkuu talented person like Ally Kiba you can't compare with hardworker like Nassbu,
talented person is not man made while hardworker is man made
talented person use mind power while hardworker use manpower
so Nassibu watu wanaomzunguka ndo wanamfanya awe hivyo pia usidhan music ndo ajira yake tu kuna biashara halali na haramu nyuma yake
 
Marumbano ya hoja tupeleke bunge la katiba,it is undisputed kwetu Kiba is the best!Hutaki kafungue mashtaka the Hague!Tumeshauri tukizidi hapo itakuwa masimango sasa...tunangoja ayatendee kazi ikishindikana hapo ndio tutamhukumu!izo nyingine zitakua ni kelele....!
 

Hahahahaaaa safi sana ripota wetu,tumekupata
 
hahaaaaaa!!! kwahiyo kumbe mlikuwa mnanitumia eeeh??? nifah mbaya wewe! ila nilistukia haka kamchezo ujue, machale yalindesa!!! mimi chapa weweeeeee

Hahahaaa sorry again..
Mjini hapa si unajua wanaume hawaaminiki?lazima utumie akili sana kumpata wa ukweli kama Mdakuzi wangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…