Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

voda nimeacha sasa wanabana vifurushi sana


hahaaa mie nishawazoea, ila kweli vifurushi vyao ndio hivyo tena, najiungaga ya mwezi kwa data ile ya bila kikomo ni full kujiachia tu, ila wao wana unafuu wanajitahidi kwakweli kwa maeneo mengi
 
voda nimeacha sasa wanabana vifurushi sana ila wako faster sana ht mikoani


mwalimu nawe kwa ruti km ......, ndio maana leo nimekumiss humu, c unajua tena busara za mwl zinahitajika sn humu?
 
Ms.Lincoln mpz uko wapiiii? au ndio unafanya maandalizi ya movie??? hapo unawaza utokeje!!!
 
Last edited by a moderator:
kiba-awards.jpg
King Kiba
Ova
 
Back
Top Bottom