Awwwww that smile thou.....
Mwaka huu lazima abebe za kumwaga...
Alitokelezea jamani!Uwiiiiii
Halafu wale washamba wa vijijini wanasema hajui kuvaa...lol
Hahahaaa ndo ushangae sasa!
Mnh! Bado hujamaliza tu baby? Mi nakungoja kwa skype.
Ova
Bado baby,jamani nimekumiss hadi nimeshindwa kuvumilia ikabidi nije kwanza kukucheki,nikimaliza nitakuambia baby love....
Woyooo nifah na mdakuzi baby bay baby siwaelewiii...?!!!
Watu wanangoja shooting
Woyooo nifah na mdakuzi baby bay baby siwaelewiii...?!!!
Watu wanangoja shooting
Sasa huelewi nini hapo?
Sasa huelewi nini hapo?
Makuuubwa ya mwanadarisalama!!atoto njoo!!Mwenzio nimejiiba...
am here dear, niambie