Umekabwa ukakabika!
Eee!hata mie piiia!!Angalia roho isikuchomoke tyuuuc unajua tena mambo ya w.end!! naona Kiba anatuandalia mambo mazuriiii, hapa nasubiri tuu kwa hamuuuuuu
Eee!hata mie piiia!!Angalia roho isikuchomoke tyuuu
Ooooh,honey Mdakuzi mi najiandaa kulala ila hapa nasikiliza muchuuzi by Rema...please utafute tuungane pamoja kuusikiliza until tommorow sweetdarling ......goodbye
c unajua tena mambo ya w.end!! naona Kiba anatuandalia mambo mazuriiii, hapa nasubiri tuu kwa hamuuuuuu
Mchana niliwapa taarifa kuhusu hii wakati nimenasa kwenye foleni.
gud news like these always makes my night, Kiba jamani he is soooo mmmmwaaaaaaa, ngoja tusubiri hii ladha jamani, cant wait
Adje umu ndani
Wale wacheza filamu za ngono waacheni waendelee kujiumbuwa huku ni matalent tu ndio yanahusika.
Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.
Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.
La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.
warumi nifah geniveros
Nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze Ally Kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa ID hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya Instagram.
-------------
Ufafanuzi juu ya zawadi
Taarifa ya Mshindi
Mtu anayeimba kwa kusaidiwa na makompyuta.
Heheheheeer sisi bado vijana mumy,unataka tuitane bibi na babu?....lol
Sasa huelewi nini hapo?