Ali Kiba Fans' Special Thread...

ndio mi shabiki bumunda
we ulitaka nimshabikie nani labda?!!!
au labda kua mvivu ndo kukosa mashabiki?
au unatafuta umaarufu kunuka jf?
pole sana dada!!

Gooosssshhhhhh....umaaarufu wa JF?

Kumbe hua unatafuta umaarufu wa JF

Tabia za ushabiki mabumunda huo....

Unamshabikia Loooser
 
kumbe unajua hilo
kihereher gani kilikutuma utuandike labda...?$!
au tujue na we upo jf?!!
haya tushajua kuna miss gracious yupo jf na amechangia kwa kiba
hongera kachukue soda kwa mangi unywee ntakulipia

Yaani mashabiki mabumunda shida sana

Yaani wanadhani JF ni yao

Shida sana

Ungekua Maxence Melo wewe si tungekoma

Roho korosho kama unayemshabikia

Pheeeeeewwwww
 
Gooosssshhhhhh....umaaarufu wa JF?

Kumbe hua unatafuta umaarufu wa JF

Tabia za ushabiki mabumunda huo....

Unamshabikia Loooser

km ni looser enhee ulitaka nimshabikie nani asiye looser?
hayo mengine sikujibu kwa sabau unatia kichefuchefu
 
Uyu dancer wa kushoto cmpendi ajui kudance

Hahahaha ujue huyo jamaa namjua ni best angu sana tulikua wote mapipa kipindi flani hivi,nilishangaa sana kumuona kama dancer wa Kiba!
Ni kweli hajui kucheza kabisa analazimisha tu,nimeona kwenye shows za Kiba ana makosa kibao!
 
Hahahaha ujue huyo jamaa namjua ni best angu sana tulikua wote mapipa kipindi flani hivi,nilishangaa sana kumuona kama dancer wa Kiba!
Ni kweli hajui kucheza kabisa analazimisha tu,nimeona kwenye shows za Kiba ana makosa kibao!

Daaah sa cjui kampendea nn wakati kuna watoto mafundi kweli mtaani uku
 
Watu wanapiga kelele sana, lakini King Kiba amerelax ile mbaya. Ukiwa unajua utabaki kuwa unajua tu hata iweje.
Ova

Kiba muda wote anatabasamu wala hana wasiwasi kabisa.
Anajiamini sana ndio maana hakurupuki anajua hasa anachokifanya.
 
ndio mi shabiki bumunda
we ulitaka nimshabikie nani labda?!!!
au labda kua mvivu ndo kukosa mashabiki?
au unatafuta umaarufu kunuka jf?
pole sana dada!!

Safi sana,wala simjibu tena umeshamaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…