Ali Kiba Fans' Special Thread...

ni fan wa ally kiba pekee anaweza kuwa na busara hizi akichemka akakubali kachemka...dah!nazidi kusikia raha kuwa jukwaa hili la wajanja watu wanaojielewa ambao hawana stress za maisha wao ni furaha na tabasamu kama king waio ally kiba mwenyewe

Kweli kabisa mkuu. Hekima na utulivu uliopo humu umejenga kuheshimiana na kuthaminiana. Hali ilivyo hapa huwezi ipata kokote. Mtu amekiri tu kiroho safi kuwa kachemka na maisha yameendelea.
Namheshimu sana jamaa kwa hatua yake hiyo. Niko pamoja naye.
Ova
 
ni fan wa ally kiba pekee anaweza kuwa na busara hizi akichemka akakubali kachemka...dah!nazidi kusikia raha kuwa jukwaa hili la wajanja watu wanaojielewa ambao hawana stress za maisha wao ni furaha na tabasamu kama king waio ally kiba mwenyewe
mkuu vitu vingine si vya kubisha,ukiingia chaka heri ukubali tu
 
Nadhani masaa machache yajayo jukwaa litawaka motto!Yangu macho na masikio,all the best to the King!Cc:Atoto

mamii kumbe mambo bado, cant wait, tuendelee kuwa wavumilivu tu hope mambo mazuri yaja
 
hivi Wakuu kwanini tusitumie hizi thread zetu mbili za platnumz na kiba kwa ajili ya kuwahamasisha wakali hao kupatana ? ( wanasema hakuna ugomvi, lakini dizain kama upo vile )..tuanze na sisi wenyewe mashabiki kupatana...nnavojua mimi ukiwa mshabiki wa kiba sio lazima umchukie platnumz na vile vile mshabiki wa platnenga sio lazima amchukie Ally...sauti zao wote kali ( usibishe ukasema nasibu au ally peke yake, sikiliza nalia na mengi ya platnumz na far away ya kiba halaf ndo uje ubishe )...tukianza sisi washabiki kua pamoja wenyewe hawawezi kutukuza tofauti zao...pengine/labda hawataki kujishusha kwasababu hawataki kuwadisappoint mashabiki wao ambao kwa namna moja ama nyingine wanafikiri wanapenda tofauti zao...!

haina haja ya kumzomea kiba kua kafulia eti kisa platnumz kawa nominated BET yeye hajawa nominated, au kumzomea platnumz kwa skendo zake nyingi ambazo hazihusiani na mziki wake.

who knows labda mwakani Ally atakua nominated BET na atapata tuzo unlike diamond ambae aliishia kua nominated tu!

au labda nasibu hizo skendo unazozisikia nayeye hazipendi na ni watu wa vyombo vya habari tu wanaona hawawezi kuuza stori zao bila kumuweka yeye ambae ni talk of the town sasa hivi.

Tuungane kwa pamoja, Tanzania ina watu wachache sana ukilinganisha na nchi kama Marekani na Nigeria ambazo zimeendelea kimuziki, tukianza kujigawa siku za uhai wetu kimuziki globally zinahesabika.

BongoFleva Moja yenye Nasib Abdul Juma na Ally Saleh Kiba wasio na tofauti inawezekana na inaanza nawewe shabiki wa upande mmoja unaechukia upande wa pili bila sababu..!

Ndugu zangu Matola na Chinga One tuweni agents wa hili..!
 
Kiba hana ugomvi na msanii yeyote tz!Sidhani kama wao wanachukiana...


aliyeanzisha ndio amalize, Kiba aliwahi kusema d ndio alianza chokochoko za kumsema sema vibaya ila yeye hakuwahi kumuwekea kinyongo, sasa 1kwa1 hapo inajulikana nani anatakiwa ajishushe na akubali kuwa alikosea, hiyo compaign ingeanzia kuleee ingekuwa bora zaidi, afterall hata mimi simchukii mondi ila nampenda kibaaaaa mpaka naumwa
 
Swadaktaaa!!No hate kabisaaa!!
 
Swadaktaaa!!No hate kabisaaa!!

inatoka wapi kwa mfano!!! mtu hanijui simjui naanzaje kumchukia, huo utakuwa uwendawazimu 1st class, na nina kila sababu ya kumpenda kiba haswaaa muziki wake,upole,ustaarabu nk, hayo mengine madhaifu ya kawaida yakibinadamu na yanarekebishika tu.
 
jamani mtanisamehe wengine humu multipurpose siku mbili hzi niko siasani kusherehekea ushindi
 
jamani mtanisamehe wengine humu multipurpose siku mbili hzi niko siasani kusherehekea ushindi

Heheheeee nakuona tu unavyosherehekea huko siasani...
Nadhani mheshimiwa kambi yake itakua imetisha sana...lol
 
jamani mtanisamehe wengine humu multipurpose siku mbili hzi niko siasani kusherehekea ushindi

mwl kumbe wewe ukawa? nakuona ulivyokazana, haya bwana pambana mpaka kieleweke.
 
atoto@nifah ukawa full mie kwa mapenzi gani labda niiepende ccm
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…