Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
njema kabisaa, how are u Abou Saydou?
pole sana jamani, whts wrong? may u get well soon.
Maralia
Thanks Sana hapa am listening to king's song known as wife wa dunia
Najua uujui🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Na ucombe kuujua
mwl kumbe wewe ukawa? nakuona ulivyokazana, haya bwana pambana mpaka kieleweke.
atoto@nifah ukawa full mie kwa mapenzi gani labda niiepende ccm
Tumeshawashikisha adabu Maccm bado katiba ya Chenge tunaipiga chini na mwakani tunalitumbuwa tezi dume kwisha kazi.
jamani mtanisamehe wengine humu multipurpose siku mbili hzi niko siasani kusherehekea ushindi
pole sana, kweli siujui, na kwann nisiombe kuujua? nahitaji kuujua ati.
Matola may I remind you of phase two ya zile zawadi...Morning!
Ukiujua unaweza kuzimia !
Mana kijana hyu n nyoko
wapi naupata?
Utoupata kokote kwasabbu n unofficial songs
Kuna
Kiba ft ipupa -touch me
Umo jamaa kaua kabisa
Kuna kiba ft Ay -she makes my day
Umo ndan wote wameua
Kuna kiba -I miss you
Umo king kaimba lugha ya mzngu tu
Kuna Ali kiba na Abdu
Jitahid uzipate alafu kuna hii 👉Hella daaah bonge la ujumbe umo ndan🏃🏃🏃🏃