Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nihurumie basi maana roho yangu inataka kuchomoka especially nikikumbuka kuwa Kiba huwa anauwaaaa!!!

hahaaaa!! huyu kazi yake ni kutuchomoa roho tu, na kadhamiria kweli leo, by the way, how are you mama?
 
Wengi wao ni vijana walioshindwa maisha kabla hata hawajayaanza maisha yenyewe wanadhani maisha ni rahisi kukaa kubeba mikoba ya wanasiasa na kutoa matamko ushuzi kwa ujira wa clone Smartphone za China na vijipocket money uchwara.

Matola tusaidiane ajira basi dah maana life ni tough kinyama alafu majamaa yanamwaga pesa kichizi nami nashindwa kuziachia naona bora nijitose tu niyasupport! Lol
 
Last edited by a moderator:
Matola tusaidiane ajira basi dah maana life ni tough kinyama alafu majamaa yanamwaga pesa kichizi nami nashindwa kuziachia naona bora nijitose tu niyasupport! Lol

Kijana mdogo kama wewe hupaswi kukata tamaa na kujiunga na kundi la waovu.

Succesfull archived by hard work and determination. Never ever give up.

Lets link privately usiogope no Le project.
 
Last edited by a moderator:
Shoga huku Sitimbi ni full mapesaa ila sio ya kuchota heheh! Si unajua tena Chukua Chako Mapema (CCM) wanavyopumulia mashine!!

Heheheer mimi nilidhani ya kuchota!
Haya mama jilie vya wajinga huko.
Vipi lakini wameshinda s/mitaa?
 
Kijana mdogo kama wewe hupaswi kukata tamaa na kujiunga na kundi la waovu.

Succesfull archived by hard work and determination. Never ever give up.

Lets link privately usiogope no Le project.

na miccm inajua kabisaaa ni kwajinsi gani watz tu waoga, hapo ndio wanatumia loope hole hiyo kutufanya watakavyo, ila tukiamua kwa dhati aisee tz itafika mbali, na hayo mabadiliko yataletwa na sisi vijana ktk hii ccm corrupted society.
 
Kijana mdogo kama wewe hupaswi kukata tamaa na kujiunga na kundi la waovu.

Succesfull archived by hard work and determination. Never ever give up.

Lets link privately usiogope no Le project.

Tatizo siwezi kula kwa macho wakati nina njaa na chakula nimeletewa kabisa mpaka mezani.

Ofcoz I won't allow le project just assure me of safety maana na wewe dah!
 
Back
Top Bottom