Ali Kiba Fans' Special Thread...



Kuna mtu kakataa kwamba diamond hajitumi!!!?anajituma kwa wakti wake,na mbinu moja wapo anayoitumia ni hiyo.

Unapozungumza kuwa kiba alikuwa kwenye peak then akashuka unakosea saana,hajawahi kushuka.
Yuko katika nafasi ya peke yake,ndio maana fans wake tunamuita king.

Kiungwana ni kwamba maisha binafsi anayoishi diamond ni yake yeye,wala hamna mtu anatakiwa kujua jua,ila sababu anayaachia kwa lengo analolijua yeye na wachache poa.

Kimbembe ni pale mtu anakwambia views za kiba zimefika kiasi kadhaa,wewe unapanick na kusema mbona za diamond zilifika kiasi kadhaa!!he!!why pressure?
 

umeona eeeehhhhhhhh!!!!!
 


hivi hizi akili nyingi hv mbona unazipoteza bure tu, tangu lini misukule ikaelewa??? wao huamrishwa tu(they say) km wanajeshi akiambiwa 'mbeleee tembea' walaaa haulizi hadi wapi? sasa achana nae hata ukeshe hawezi kukuelewa.
 
Dah,yani ESCROW tuliyoisikia kutoka kwa PAC leo imekua tofauti kabisa.

yaani na huyu baba yao ndio simuelewagi hataa na cjawahi hata kumuelewa, nasubiri aanze vijembe vyake km kawaida yake
 

Wanaopata muda wa kufatilia upuuzi wake nje ya mziki wake ni wale ambao hawana kazi za kufanya.

Kiba hameshaisha ila mnakaza tu kutaka akae pale juu.. "Progress" ya kiba sasahivi tungekua tunamsikia anga zingine. Mwangalie mtu kama AY alipo sasa, kiba alitakiwa awe mbele hata ya AY na Diamond.. Au we peak unayoizungumzia ni ipi?? Kiba ana exposure gani nje ya Tanzania?? Ana mafanikio gani?? Ana tuzo gani?? Au mnafikiri ye anataka kushangiliwa fiesta then basi..

Unashangaa mimi kuhoji kutofikia viewers za ndomo?? Huwashangai waliomzomea ndomo fiesta na kumshangilia kiba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…