Ali Kiba Fans' Special Thread...

yaani na huyu baba yao ndio simuelewagi hataa na cjawahi hata kumuelewa, nasubiri aanze vijembe vyake km kawaida yake

Kama sasa hivi ndio kazidi kuvuruga...sipati picha kule siasani kunawaka sasa
 

Pole sana kwa Kijiba cho roho,kama vipi RIP!
 


Sawa kama ameishaisha.ni maoni yako na mtazamo wako siwezi kukulazimisha.
Kwangu mimi ni msanii zaidi ya wengine,ananiimbia nyumbani nafurahi mimi nyumbani kwangu tz hata angeenda kuimbia mwezini kama hanishawishi,hanishawishi tu.

Tatizo la mashabiki wa diamon,hampendi kuona mtu anasifia mtu mwingine.

Kuzomewa diamond isikuchanganye,maana ndio ukweli wenyewe kuwa,ukimuweka na kiba hafurukuti.iwe kwenye wimbo au jukwaani,tena clouds msije mkarudia mtaniulia mtu.

kuhusu tuzo subiri usiwe na haraka,ila usije ukadai kingine.
 
Kama sasa hivi ndio kazidi kuvuruga...sipati picha kule siasani kunawaka sasa

hv ulitegemea ataja kuongea nn??? hv mbona mwakani october hakufiki! mie nshamchoka mpaka basi yani
 
hv ulitegemea ataja kuongea nn??? hv mbona mwakani october hakufiki! mie nshamchoka mpaka basi yani

Dah,yaani hapa wazee wanapiga makofi tu na vigelegele...
Hii nchi sio kabisa
 
Dah,yaani hapa wazee wanapiga makofi tu na vigelegele...
Hii nchi sio kabisa

hv unadhani hata vinaelewa kinachoendelea??? vinasinzia tu vikishuka vinashangilia, hv kwann hautubiagi vijana?? alafu akimaliza kuwe na q&a session
 
yaani huyu mzee hata vitu vya serious anachukuliaga masihara tu, cjui yupoje!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…