Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba, kuna wengine ni mashabiki wa mtu, na wengine ni mashabiki wa muziki mzuri.
Mimi ni shabiki wa muziki mzuri ndio maana niko kwa King Kiba, hao wengine wanaoendea gesi ya scandal nawaachia mashabiki wa watu.
Ova
ofcoz, mie kanishawishi kumshabikia vyote, nashabikia kitu kizuri u know, i mean muziki mzuri na kijana anayejitambua 'KING', yaani huyu kijana automaticaly tu unajikuta unashabikia yote(hahaaaa its not my fault kwakweli)
ndio raha ya hii video mie mpaka nilihisi wimbo umekatishwa, yaani inakolea na kuisha, wimbo mtamu,video tamu,muziki mtamu, yaani walaa hauchoshi, hapana chezea kiba yaani
Sasa ile video ya porno star ndio imeshakufa kifo cha mende?
Video ina kisa cha maisha ya kila siku ya kijana, halafu ni story rahisi na iko bomba ile mbaya hapo ni lazima uone wimbo kama umekuwa mfupi.
Nadhani hiyo ni video bora kabisa ya Godfather kwa wanamuziki wa Bongo, iko tofauti kabisa. Isitoshe King Kiba kajibeba mwenyewe sio msaada wa models.

Pale ndio basi tena. Ushamsikia nani anaizungumzia, au hata kueleza jinsi alivyoelewa kisa cha story ya video? Wote wanazungumzia Mwana tu, huku wamelewa story ya video.
Ova
Nilikuwa sijatulia kuingalia kiumakini leo nipo home fulltime ndio nimeifuatilia vizuri ina TBS zote.
Wale wanaotaka Sinema badala ya muziki walete maombi itengenezwe sinema na huu wimbo ndio uwe sound track otherwise hakuna walijuwalo kwenye muziki zaidi ya umbululaz tu.

Walitumwa tu wale, video iko bomba sana na ngoma yenyewe ndio usiseme sasa wakawa wanashindwa watokee wapi.
Ndio wameibuka na issue ya kutaka kumuona Mwana, bila kujua hoja hiyo inawaaibisha sana, kwani video nyingi ziko vile.
Kwani video ya Khona ya Mafikizolo ikoje? Prakatatumba ya Cabo Snoop ikoje, New Flame ya Chris Brown ikoje? Nimewadharau sana kwa hoja yao ya kudai Mwana aigize.

Ndio maana nawaeleza anayetaka sinema aseme tuwatengenezee Sinema, wasilazimishe movie igeuke kuwa muziki.
Hivi hawa mashankupe wanaelewa kama Thriller ya Wacko Jacko ilikuwa ndio sinema fupi zaidi duniani kuingiza mapesa mengi na kuvunja rekodi?
haki ya mungu nna mambo mengi