Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kama ni kweli walikuwa wamesha record I am 100% sure Dayna angetoa huo wimbo kuthibitisha madai yake.
Nahisi hizi ni propaganda...

Kila mmoja alikwenda studio kwa wakati wake. Na ndio maana ilikuwa rahisi kumpindua Dayna coz Diamond alikuwa akikutana na Clever after Dayna kumpa Demo ya alikofanya yeye.
Kwa hakika Diamond alifanya, akaona anazama na mwishowe akaamua kuiomba beat kwa Clever na kurekodi kivyake verse aliyoandika kwa ajili ya Naumia.
Dayna alishasalitiwa na Clever so haikuwa rahisi kupata chochote toka kwa Clever kuhusu ule wimbo zaidi ya ile demo aliyopewa awali.
Tena mwanzoni Diamond alimwambia Clever atengeneze beat nyingine kama ile ili kukwepa madongo ya Dayna, lakini Clever akasema hakuna haja atabadilisha kidogo ileile coz Dayna hajalipia bado.
Ova
 
Tunapeana updates za King wetu....uwiiiiii hiki cheo kinawauma watu balaa..ndio tushampa jamani,hamtaki kunyweni sumu.

Yeye ni King, haijalishi wao wamekubali au wamekataa.
Ova
 

ndo maana asa hivi kaimba mnanda!!
mwakani tungoje taarabu!!
 
Believe me...this is who I am (wiser)...tofauti na hapo ujue na fake tu...hata hivyo nina udhaifu m1 ambao unanipelekea niwe vile...hasira,lakini kwa sasa siipi nafasi tena

Safi sana ucruhusu hasira,jst ignore vitu iko poa sana,
 
Believe me...this is who I am (wiser)...tofauti na hapo ujue na fake tu...hata hivyo nina udhaifu m1 ambao unanipelekea niwe vile...hasira,lakini kwa sasa siipi nafasi tena

Safi sana wangu. Mtu akikukera usiwe na haraka ya kumjibu. Tulia uje kumjibu baadaye au mpotezee, utaweza kuepusha mambo mengi. Kweli kabisa, mimi nakukubali sana kwa ulivyo na misimamo na kusimamka unachokiamini. Walio kama wewe mko wachache.
Ova
 
ndo maana asa hivi kaimba mnanda!!
mwakani tungoje taarabu!!

Mziki wa bongo haueleweki leo mtu anaimba hivi kesho vile ili mradi basi tu.
Hata mwana imekaa kama bolingo ni sebene flani ingekuwa kaimba Ally Choki lisingekuwa lapigwa kwenye vipindi vya Bongo fleva
 
Safi sana wangu. Mtu akikukera usiwe na haraka ya kumjibu. Tulia uje kumjibu baadaye au mpotezee, utaweza kuepusha mambo mengi. Kweli kabisa, mimi nakukubali sana kwa ulivyo na misimamo na kusimamka unachokiamini. Walio kama wewe mko wachache.
Ova

Ahsante sana Mdakuzi...I appreciate
 
Last edited by a moderator:

kuna watu unawajua akili zako kwa vitu wanavyopost, yaan na akili zako unapost upumbav et team Alikiba??, yaan umekosa kabisa cha kufanya unaleta ushindani usio na maana, na wajinga wengine wanasupport huu upuuzi, habar ya team wema , diamond , alikiba n upuuzi, pipo are makng money while you are making nothng, af unajifanya mjuaji, msomi na mwelewa, yaan mekudharau kwa hii post yako!!!, cdhan hata kama una elim ya form four, umejaa uswahol na majungu, shame on u matobo, ooh sor matola
 
Ebu pitaaa kulee,kama wewe sio mjinga mwenzetu hapa ulipita kufanya nini!!Kwani wewe unashabikia mpira na wacheza boli unalipwa?!wanaotengeneza hela ni hao waburudishaji hata shabiki wa mpira anaifaidisha team na wachezaji,hii ni nchi huru,hapa hatuvunji sheria!Alafu mambo ya hapa ukiyachukulia personal utazikwa siku sio zako,Paula mama wee,ushabiki mtamu kwa raha zeeetu!
 

Hahahahaaaa katika siku ulizonifurahisha leo ni # 1...
Safi sana tunajibu kwa facts
 

mwambie kifurugobe huyoo hajaitwa humu
kuwashwa kwake ndo kumemuita
shevuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…