Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaa habari wanazo mbona,waacheni tuone watafanya nini bila uwepo wetu kule....

nimefuta comments yangu kule
jamani watu waswahili sana lloooh
kumbe roho zilikua zinauma eeeh
 
Huu uzi unanishangaza sana headline ni kibba contents zinamzungumzia diamond
 
Hahahahaaaa naona mtaa wa pili wameiga wazo letu la special thread....
please guys waacheni wafanye yao,nawaombeni sana nisiwaone kule kwa vyovyote vile hata Kiba akipondwa vipi...
Hop wote ni waelewa,tumeelewana...
Kweli mtaa wa pili wameishiwa ubunifu kaaah!sionekani ng'oooo!
 
Huu uzi unanishangaza sana headline ni kibba contents zinamzungumzia diamond
Kashangae kwanini kila akitajwa dai malaya naye anatajwa!!ofkoz kwenye msafara wa mamba na kenge wamo,so kushangaa mwisho mara moja!!
 
hahahaaa nilienda kuwapa ukwi sie hatunaga chuki wala ugomvi na team kudandia nyota za mademu
bila mademu no kick weraaaaaaa
matola uko wapi our herrrrrrooooooo

Jana nimemaliza kazi usiku sana na leo naamka na paper work lakini nafanyia home tupo pamoja, nimecheka kweli mtaa wa pili wametuiga bila hata kutupa credit, wana roho mbaya hawa jamaa!!
 
Uwiiiii jamani miss Strong na geniveros hamjaliona LE TAMKOZZZ au?waacheni na mambo yao...please

Jamani Le Tamkoz na liheshimiwe na fans wote, mimi nilipita kule kabla ya kuliona Le Tamkoz.

Hawatoniona tena kule hata mtu akimention jina langu.
 
Last edited by a moderator:
Jana nimemaliza kazi usiku sana na leo naamka na paper work lakini nafanyia home tupo pamoja, nimecheka kweli mtaa wa pili wametuiga bila hata kutupa credit, wana roho mbaya hawa jamaa!!

I dont know your age but i think you're too old for that
 
Matola usijishushie tena hadhi yako kule mtaa wa pili,yani kuonekana kwako kule ni credit tosha kwa wazee wa kuiga...
 

umeona fursa hamna kitu kingine.... u aint that loyal....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…