Mwana inarindima kwenye BBA wakati huu. Housemate wote wanapiga mduara. Kiba kaeleweka hadi kwa wasiojua Kiswahili.
Ova
Lini tena hiyo jamani?
Mweeeeh.....ungeniletea bill ya kuzirepair! Lol
Kuna mjinga alikuja hapa kunichokoza baada ya kuona siendi kule kwao...nikatulia akaingia mkenge akamwaga matusi weeee akidhani nitajibizana nae,mimi walaaa alifeli kwa hilo sasa hivi yupo kifungoni mimi napeta...
Izo account sio zake
Alisema ana page tu fb 👉👉officialAliKiba jina la pageAccount yake ni ipi?
Alisema ana page tu fb 👉👉officialAliKiba jina la page
Ila izo account zngne ni wahuni tu wanafungua
Huu ndio udhaifu mkubwa wa Kiba kinachombeba ni kipaji tu otherwise angeshafia Uyole.
Vinega chini ya Sugu walifanikiwa kuifunika Clouds kwa sababu walitegemea zaidi social Networks.
Kiba kama ana Management basi aachane nayo haraka sana.
Aachane nayo awaengage wengine...ujue mziki ni kazi kama kazi nyingine inahitaji umakini sana,ni biashara ngumu ajue hilo.Alafu bila management inakuaje
Aachane nayo awaengage wengine...ujue mziki ni kazi kama kazi nyingine inahitaji umakini sana,ni biashara ngumu ajue hilo.
Jamani...Le Tamkozz Limewaumiza mtaa wa pili wanaishia kuqoete na kucopy thread,ndiyo kwenye uzi wao hatuendiiii,kwani lazima!!kama walianzisha uzi kumdiscuss Kiba hapo sawa,wanaishia kutokwa povu tuu...nyoooo!
Ayayayaaaaaaa kumekucha,na bado huo ni mwanzo tu wa audio....video je?tutazika watu mwaka huu
watazimia sasa jamani llloooh
ingekuwa mtaa wa pili na thread juu ingeanzishwa ya kusifia
Na bado.
Ile fitina niliifanya kimyakimya niliyaona yale matusi, nikaona nikimbize mwizi kimyakimya.
Aachane nayo awaengage wengine...ujue mziki ni kazi kama kazi nyingine inahitaji umakini sana,ni biashara ngumu ajue hilo.
wamefuli umedoda hatariii na tumewadisss
sio lazima wote tuimbe...!!
Hahahaaa watu hadi wanaji quote wenyewe nimecheka balaa..
Mwanzo walianza kumdiscuss warumi,wakahamia kwa le mutuz sasa wana mbutananga....tutaona mengi kwa mwendo huu...
Wewe acha nisikukumbushie tukaumiza kidonda cha mlengwa ambacho kinaanza kupona