Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

I miss you guys jamani tigo wamenipa homa leo....watu wanajiuliza huyu dada anaumwa au kapatwa na msiba kumbe nawaza JF
 
nilichogundua mtunga uzi yupo kibiashara zaidi na si mapenzi ya kweli AK, WATU WANTUKANANA KUSONYANA KUMBE LENGO TOFAUTI KABISA
 
nilichogundua mtunga uzi yupo kibiashara zaidi na si mapenzi ya kweli AK, WATU WANTUKANANA KUSONYANA KUMBE LENGO TOFAUTI KABISA

Jamani nimjuavyo mimi Matola tokea nimeijua JF ni ana mapenzi ya ukweli kwa Ally Kiba...wewe mwenzangu sijui kama unamjua vizuri...he is a die hard fan....
 
Last edited by a moderator:
Jamani nimjuavyo mimi Matola tokea nimeijua JF ni ana mapenzi ya ukweli kwa Ally Kiba...wewe mwenzangu sijui kama unamjua vizuri...he is a die hard fan....

Wana wivu hao honey. Wasage chupa wabwie washushie na jik na kiroba original.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaa
watu mna maneno jamani

Ushuzi wao wakajambe huko kwenye thread waliotuiga na imebuma.

Naomba na nasisitiza tena tuheshimu Le Tamkooz, haturuhusiwi kwenda kucomment mtaa wa pili wa waigizaji, tubaki hapa kwa raha zetu, waacheni wadode na siredi yao ya kutuiga, hawana ubunifu kabisa hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom