Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaaa siisemi bora nibakie na ushamba wangu....

Basi nenda google andika how to screenshot............

Hizo deshideshi andika aina ya simu yako zitakuja tutor dakika mbili tu utaelewa na wewe utakuwa mwalimu.
 
Nimewahi kukuona ukiwaelewesha watu mara kibao siko interested kiivyo kwanza huko insta nimeshahama....
 
Mimi siposti wala sicomment Insta ila huwa napita kwenye Id ambazo ziko open kusoma umbea tu.
 
Back
Top Bottom