Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
binamu kweli mi nipo km mwezi huku nalea natimka dec narudi jiji la makamba mecky sadik mvamizi tuu
Aaaaah ok poa mie mwenyewe nilikuja tu mda kidogo then nimesepa japo nilikuwa naishi huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binamu kweli mi nipo km mwezi huku nalea natimka dec narudi jiji la makamba mecky sadik mvamizi tuu
Unatumia smartphone gani? Mbona rahisi sana?
Hahahaaaa siisemi bora nibakie na ushamba wangu....
Aaaaah ok poa mie mwenyewe nilikuja tu mda kidogo then nimesepa japo nilikuwa naishi huko
ungeniambia binamu ungekuja kisasa
Hahahaaaa siisemi bora nibakie na ushamba wangu....
Team ndomo punguzeni presha jamani?Mbona mkisikia jina la kiba mnaanza kuranduka tu?Hebu piteni kimya kimya mtuache na mwana wenu tuseme nae
Ukitaka unyamazishe Team domo taja jina la KIBA 4 REAL
Basi nenda google andika how to screenshot............
Hizo deshideshi andika aina ya simu yako zitakuja tutor dakika mbili tu utaelewa na wewe utakuwa mwalimu.
Nimewahi kukuona ukiwaelewesha watu mara kibao siko interested kiivyo kwanza huko insta nimeshahama....
Nimewahi kukuona ukiwaelewesha watu mara kibao siko interested kiivyo kwanza huko insta nimeshahama....
Mimi siposti wala sicomment Insta ila huwa napita kwenye Id ambazo ziko open kusoma umbea tu.
Na mie nilikuwa kisasa zile nyumba za pembeni ya martin
Hahahaaaa siisemi bora nibakie na ushamba wangu....
wakuu!
namkubali sana Ally Kiba
Dodoma mwanawenu wenu Leo ndani ya mjengo