Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hahahaaa watu hadi wanaji quote wenyewe nimecheka balaa..
Mwanzo walianza kumdiscuss warumi,wakahamia kwa le mutuz sasa wana mbutananga....tutaona mengi kwa mwendo huu...
Wanagongana lugha mara ooh sio mashindano mara sijui kieenda kimerudi yani ule ni uzi wa kigodoro sijaona la maana wanalofanya so far,wanatia huruma hatari wana matusi wachaa!!
Wanagongana lugha mara ooh sio mashindano mara sijui kieenda kimerudi yani ule ni uzi wa kigodoro sijaona la maana wanalofanya so far,wanatia huruma hatari wana matusi wachaa!!
Haya bhana ila ungenidokeza tu!
Kuna siku nilimchamba mtu hapa hadi akapotea mimi nikaachana nae,sasa ulivyokuja ukalianzisha upya...uwiiiii nilicheka hatariiii
Beib nmekumiss aisee
Wewe unapotea hadi natukanwa kama nini....ungekuwepo ungenisaidia kidogo maana ni yuleyule wa siku zile hadi nikapigwa ban
Daaaah nani huyo aisee ngoja tu mum
Wewe unapotea hadi natukanwa kama nini....ungekuwepo ungenisaidia kidogo maana ni yuleyule wa siku zile hadi nikapigwa ban
Shoga acha tu nilivamiwa hapa nikatukanwa hatari....walinisubiri niende kule wapate cha kusema hawajaniona basi wawili wakanivamia...mmoja nikampotezea mwingine nikamjibu kistaarabu tu manake najua alikua ananichokoza basi akatukana weeee kilichompata anakijua...sina muda wa kutukanana na mtu kwa kweli,tufanye yetu sasa
Tuangalie ni jinsi gani tutamsapoti Kiba kama lilivyo lengo letu
Oukyyyy,next time nikichokozwa nakuita...sijaisahau promise.....
kwa hilo ulinifurahisha hatari, maana nilihisi utalianzisha bt ulivyokaa kimya duuh nilifurahi sn, ukimya ni jibu tosha sn kwa mjinga
Oooh ucjl mama narud dar next week nko dom,lazma tumeet
My dear kuna watu hawanipendi jamani kisa nampenda Ally Kiba na wanichukie tu nitazidi kuushikilia msimamo wangu...kama unakumbuka vizuri yule anapenda kunitafuta ugomvi sana fist time alinipata lakini juzi nimempata....
Na kuanzia sasa sitomjibu chochote.
nakumbuka vzr hilo timbwili mama, hv jamani kwann umlazimishe mtu ampende mtu mwingine? mtu mmoja hawezi pendwa na wote so ni bora ukaheshimu hisia za mwenzio hata km zinatofautiana na zako, now matusi tuwaachie watukane wee sie tufanye yetu