Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hahahaaa watu hadi wanaji quote wenyewe nimecheka balaa..
Mwanzo walianza kumdiscuss warumi,wakahamia kwa le mutuz sasa wana mbutananga....tutaona mengi kwa mwendo huu...
Bado wale wa multiple ids, watakuwa wanajicommentisha mpaka basi....mradi waongeze idadi.