Ali Kiba Fans' Special Thread...

👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑kiba
 
Kuna siku nilimchamba mtu hapa hadi akapotea mimi nikaachana nae,sasa ulivyokuja ukalianzisha upya...uwiiiii nilicheka hatariiii

Kuna wawili nilishawakuta kwenye anga za hivyo nadhani mmoja hapo atakuwa anahusika. Kuna wengine huwa mikwala tu ukimface hana lolote, sema tu mi huwa sinaga ile ya kukomaa sana na malumbano.
 
Kuna wawili nilishawakuta kwenye anga za hivyo nadhani mmoja hapo atakuwa anahusika. Kuna wengine huwa mikwala tu ukimface hana lolote, sema tu mi huwa sinaga ile ya kukomaa sana na malumbano.
Umeona eeh,mikwara miiingi kumbe hamna kitu,mmoja aliondoka kimyakimya mwingine akaanza kulialia nilicheka balaa
 
Kila nikimuona Alikiba ama nikisikia vocal zake nafurahi sana.
I just like him. He is the one I can mention when music is the case.
Well I do love all of him as long as good music prevails! #Kiba4real
duuh!Una mahabatiiiiii!ha ha ha hahaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…