Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Wewe utafanya nyumba ya jirani wanune mpaka BBA iishe.
Hahahaaa! Mpaka wapasuke.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utafanya nyumba ya jirani wanune mpaka BBA iishe.
kweli mkuu?
kama ni hivyo hongera zake,inaonekana kijana nyota yake yarudi......
mwanadslam naskia umepigwa ndani ya BBA?!!
Kuna siku nilimchamba mtu hapa hadi akapotea mimi nikaachana nae,sasa ulivyokuja ukalianzisha upya...uwiiiii nilicheka hatariiii
Wachokozi wale,walimtukana Warumi mpaka basi,yani mtu akuchukie kisa mmetofautiana fikra!ajabu sana
Umeona eeh,mikwara miiingi kumbe hamna kitu,mmoja aliondoka kimyakimya mwingine akaanza kulialia nilicheka balaaKuna wawili nilishawakuta kwenye anga za hivyo nadhani mmoja hapo atakuwa anahusika. Kuna wengine huwa mikwala tu ukimface hana lolote, sema tu mi huwa sinaga ile ya kukomaa sana na malumbano.
Mapashkuna yote yapo kule.
Mapashkuna yote yapo kule.
Hahahaaaa unanichekesha kweli yaani..Mimi utaishia kuniona hapa JF mazee
duuh!Una mahabatiiiiii!ha ha ha hahaaaaaa!Kila nikimuona Alikiba ama nikisikia vocal zake nafurahi sana.
I just like him. He is the one I can mention when music is the case.
Well I do love all of him as long as good music prevails! #Kiba4real