Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hey Viol ni video gani hiyo ambayo imewahi kuchukua miaka?wimbo wa mwana umetoka mwezi wa saba that means ni miezi minne tu na video iko tayari lakini hatuwezi kumlazimisha kwa sababu hatujui ana mipango gani.

All in all Kiba ni msanii mkubwa naamini anajua anachokifanya japo sometimes anakua na vijimakosa vya hapa na pale ila nae ni binadamu ndio maana sisi kama fans wake tukaamua kuanzisha thread hii ili tumkumbushe pale tunapoona hapako sawa ...

Namkubali sana ila ukimya wake unazidi mno,kumbuka fiesta "king is back"then kimya tena kuanzia hapo
 
Last edited by a moderator:
Mwisho utataka nikulipie hata DSTV. Kila unayedai ni tomaso mwambie, mwambie akitembea mtaani akiona nyumba ina dish la DSTV awaulize wenye nyumba kama aliona wakati BBA Housemates wako disco. Awaulize ni wimbo upi wa Bongo ambao housemates wote walicheza? Tena walicheza kwa mduara.
Ova

Hahahaaaa umenichekesha sana....thou sikuwahi kutegemea kua na wewe una majibu hivi
 
Hongeren sana kwa kuwa wavumilivu,hakika kwa matusi mliyotukanwa daah!Wapuuzeni hao,naamini ni watoto waliomaliza kidato cha 4 hivi karibuni....hakika nimejifunza utofauti wa mashabiki wa Diamond na Ally Kiba!
Ntaendelea kuwa shabiki wa Ukweli wa Diamond na Ally Kiba bila kumtusi opposer wangu.....Mchana mwema wapendwa!
 
Umeona eeh!Hapo Mkuu alinijibu kwa kejeli but hakutumia tusi.....huo ndo ushabiki haswaa siyo unatumia matusi nyuma ya keyboard afu unashindwa kumsapoti msanii wako hata kununua CDs zake!
Shame on them!
 
Karibu...nashukuru sana kama umeliona hilo...usisite tena kuja hapa kwa wastaarabu
 
huu uzi nimegundua wachangiaji wengi watoto wa daslaam na arusha kidogo wale wajanja wajanja na kama kuna wa mikoani basi wajanja sana!tofauti na ule uzi wa yule dogo mwingine full wagoroko

Hahahaaaa umeona eeh?Mimi niliwahi kusema wale wengi wao wako vijijini wanawasikiliza wenzao wa tandale alafu wanatupigia kelele nyiiiingi tu hawajui kinachoendelea hapa mjini....
 
Umeona eeh!Hapo Mkuu alinijibu kwa kejeli but hakutumia tusi.....huo ndo ushabiki haswaa siyo unatumia matusi nyuma ya keyboard afu unashindwa kumsapoti msanii wako hata kununua CDs zake!
Shame on them!

Let me insist....shame on theeeeem!!!
 
Hahahaaaa umeona eeh?Mimi niliwahi kusema wale wengi wao wako vijijini wanawasikiliza wenzao wa tandale alafu wanatupigia kelele nyiiiingi tu hawajui kinachoendelea hapa mjini....

Na Musa Zungu alishatoa wazo bungeni kuwe na beria za kutoza ushuru kuingia Dar na kuingia City center maana wengine wanatuongezea foleni bure kwa kuja kuboomboom tu mjini a.k.a wapiga mizinga.
 
Itabidi iwe hivyo kiukweli labda itasaidia...waliokuwepo ni wachache kuliko wanaotaka kuja kushangaa shangaa si hatari hii???
 
Na Musa Zungu alishatoa wazo bungeni kuwe na beria za kutoza ushuru kuingia Dar na kuingia City center maana wengine wanatuongezea foleni bure kwa kuja kuboomboom tu mjini a.k.a wapiga mizinga.

umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom