Ali Kiba Fans' Special Thread...

Namkubali sana ila ukimya wake unazidi mno,kumbuka fiesta "king is back"then kimya tena kuanzia hapo
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa umenichekesha sana....thou sikuwahi kutegemea kua na wewe una majibu hivi
 
Hongeren sana kwa kuwa wavumilivu,hakika kwa matusi mliyotukanwa daah!Wapuuzeni hao,naamini ni watoto waliomaliza kidato cha 4 hivi karibuni....hakika nimejifunza utofauti wa mashabiki wa Diamond na Ally Kiba!
Ntaendelea kuwa shabiki wa Ukweli wa Diamond na Ally Kiba bila kumtusi opposer wangu.....Mchana mwema wapendwa!
 
Hahahaaaa umenichekesha sana....thou sikuwahi kutegemea kua na wewe una majibu hivi
Umeona eeh!Hapo Mkuu alinijibu kwa kejeli but hakutumia tusi.....huo ndo ushabiki haswaa siyo unatumia matusi nyuma ya keyboard afu unashindwa kumsapoti msanii wako hata kununua CDs zake!
Shame on them!
 
Karibu...nashukuru sana kama umeliona hilo...usisite tena kuja hapa kwa wastaarabu
 
huu uzi nimegundua wachangiaji wengi watoto wa daslaam na arusha kidogo wale wajanja wajanja na kama kuna wa mikoani basi wajanja sana!tofauti na ule uzi wa yule dogo mwingine full wagoroko

Hahahaaaa umeona eeh?Mimi niliwahi kusema wale wengi wao wako vijijini wanawasikiliza wenzao wa tandale alafu wanatupigia kelele nyiiiingi tu hawajui kinachoendelea hapa mjini....
 
Umeona eeh!Hapo Mkuu alinijibu kwa kejeli but hakutumia tusi.....huo ndo ushabiki haswaa siyo unatumia matusi nyuma ya keyboard afu unashindwa kumsapoti msanii wako hata kununua CDs zake!
Shame on them!

Let me insist....shame on theeeeem!!!
 
Hahahaaaa umeona eeh?Mimi niliwahi kusema wale wengi wao wako vijijini wanawasikiliza wenzao wa tandale alafu wanatupigia kelele nyiiiingi tu hawajui kinachoendelea hapa mjini....

Na Musa Zungu alishatoa wazo bungeni kuwe na beria za kutoza ushuru kuingia Dar na kuingia City center maana wengine wanatuongezea foleni bure kwa kuja kuboomboom tu mjini a.k.a wapiga mizinga.
 
Itabidi iwe hivyo kiukweli labda itasaidia...waliokuwepo ni wachache kuliko wanaotaka kuja kushangaa shangaa si hatari hii???
 
Na Musa Zungu alishatoa wazo bungeni kuwe na beria za kutoza ushuru kuingia Dar na kuingia City center maana wengine wanatuongezea foleni bure kwa kuja kuboomboom tu mjini a.k.a wapiga mizinga.

umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…