Ali Kiba Fans' Special Thread...

hahaha Ni sheeedar

Team Ally Kiba Forever sauti tamu kama asali ...

inamsaidia nini ?sauti kama asali ? any why ni king of keyboard member. kapata taarifa whatup,fb inst,twit utajua domo ni nani?
 
Joto hasira, kajifunze kuandika kidhungu kwanza kwa Ras Simba sijui haya mauzauza ni kidhungu cha wapi?

Message sent mwambie achangamke ataendelea kutembea kwa minguu.....lift ndio hiyo ishafika hahahahahahahah
 
inamsaidia nini ?sauti kama asali ? any why ni king of keyboard member. kapata taarifa whatup,fb inst,twit utajua domo ni nani?

Pole joto hasira .. wewe penda domo mie penda Ally Kiba vere simple
 
Fans wa Nassib wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe. Hivi ni kweli ndani ya nafsi zao wanakubali kuwa ule wimbo mpya alioutoa ni mkali?!
Wajiulize ule wimbo unaupita wimbo wa mwisho wa Nassib wa Mdogomdogo? Wimbo hauna maneno ya kugusa, hauna utundu wa sauti, muziki umelala kabisa. Ukisikiliza ni kama amerudia nyimbo zake za Ukimwona au Nimpende Nani.
Ni wimbo uliobebwa na video tu, ni wazi kwamba video yake ni kali script imeandikwa vizuri, na hata director alikuwa makini na hisia za characters wake na alizingatia kila tukio. Hata mchukua picha nampa heshima yake.
Lakini kwa ukali wa video sifa zaidi zinaenda kwa hao niliowataja sio moja kwa moja kwa Nassib.Yeye sifa zake zinatakiwa ziwepo kwenye kuimba na kuandika. Ikiwa kweli unajua music utanielewa bila shida, lakini kama ni shabiki fuata mkumbo huwezi nielewa hata uzikwe.
Kiukweli katika wimbo huu Nassib kaimba kawaida sana, afadhali hata alivyoimba Mawazo. Haukuwa wimbo wa kuutoa wakati huu ambao watu wanasubiri aipite audio ya Mwana, na hasa ikiwa nyimbo zake mbili za awali zilishindwa kuuzima hadi akazomewa Fiesta.
Kwa hili inafanya nihisi kwamba Nassib hana washauri wazuri, ama ni mgumu kupokea ushauri wa washauri wake, kwani kwa kipindi cha ushindani na Kiba kama hiki hakupaswa kutoa wimbo ule.
Namsubiri Nassib alete wimbo mwingine niupime kwa Mwana, kwani huu wa sasa ni mdogo mno.
Ukisikiliza ule wimbo utaona jinsi Nassib alivyokosa utulivu, na kujaribu kuleta mipasho, ambayo unaona wazi amevurugwa kabisa na ujio wa Kiba ambaye baada ya kuwa kimya kwa miaka mitatu.
Mwana ni wimbo mkali sana kwa sasa, lakini bado lilikuwa wazo la Kiba kwa mwaka 2012, itakuwaje akiweka wimbo wa wazo lake la sasa?
Ova
 
inamsaidia nini ?sauti kama asali ? any why ni king of keyboard member. kapata taarifa whatup,fb inst,twit utajua domo ni nani?

Mbona na nyie mnamsifia domo wenu mwenzenu akisifiwa nogwa kiba atawaua na pressure kila sehemu mnamshambulia kiruuuuuuuu ni shiiiiider
 

i heard it now kuna mtu kantumia wa kawaida sana
 
My dear nimeuona jana clouds yaani hadi nikamuonea huruma badala ya kucheka...sauti wala utundu wowote hamna yaani umepooza kama poro la magimbi ya futari...
Una mambo ww!Huwa natamani nikujuweeeeee......hizi fake ID usumbufu sana,waweza kuta unacomment post ya dadaako au mchepuko wako!Ha ha ha ha haaaaaa!
 
Usijali mkuu tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…