FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Na huyo aliyeanzisha kule thread ndio kahamia huku kwa wastaarabu. Ni sheeedar.
hahaha Ni sheeedar
Team Ally Kiba Forever sauti tamu kama asali ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyo aliyeanzisha kule thread ndio kahamia huku kwa wastaarabu. Ni sheeedar.
hahaha Ni sheeedar
Team Ally Kiba Forever sauti tamu kama asali ...
inamsaidia nini ?sauti kama asali ? any why ni king of keyboard member. kapata taarifa whatup,fb inst,twit utajua domo ni nani?
Joto hasira, kajifunze kuandika kidhungu kwanza kwa Ras Simba sijui haya mauzauza ni kidhungu cha wapi?
inamsaidia nini ?sauti kama asali ? any why ni king of keyboard member. kapata taarifa whatup,fb inst,twit utajua domo ni nani?
inamsaidia nini ?sauti kama asali ? any why ni king of keyboard member. kapata taarifa whatup,fb inst,twit utajua domo ni nani?
Message sent mwambie achangamke ataendelea kutembea kwa minguu.....lift ndio hiyo ishafika hahahahahahahah
Message sent mwambie achangamke ataendelea kutembea kwa minguu.....lift ndio hiyo ishafika hahahahahahahah
Fans wa Nassib wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe. Hivi ni kweli ndani ya nafsi zao wanakubali kuwa ule wimbo mpya alioutoa ni mkali?!
Wajiulize ule wimbo unaupita wimbo wa mwisho wa Nassib wa Mdogomdogo? Wimbo hauna maneno ya kugusa, hauna utundu wa sauti, muziki umelala kabisa. Ukisikiliza ni kama amerudia nyimbo zake za Ukimwona au Nimpende Nani.
Ni wimbo uliobebwa na video tu, ni wazi kwamba video yake ni kali script imeandikwa vizuri, na hata director alikuwa makini na hisia za characters wake na alizingatia kila tukio. Hata mchukua picha nampa heshima yake.
Lakini kwa ukali wa video sifa zaidi zinaenda kwa hao niliowataja sio moja kwa moja kwa Nassib.Yeye sifa zake zinatakiwa ziwepo kwenye kuimba na kuandika. Ikiwa kweli unajua music utanielewa bila shida, lakini kama ni shabiki fuata mkumbo huwezi nielewa hata uzikwe.
Kiukweli katika wimbo huu Nassib kaimba kawaida sana, afadhali hata alivyoimba Mawazo. Haukuwa wimbo wa kuutoa wakati huu ambao watu wanasubiri aipite audio ya Mwana, na hasa ikiwa nyimbo zake mbili za awali zilishindwa kuuzima hadi akazomewa Fiesta.
Kwa hili inafanya nihisi kwamba Nassib hana washauri wazuri, ama ni mgumu kupokea ushauri wa washauri wake, kwani kwa kipindi cha ushindani na Kiba kama hiki hakupaswa kutoa wimbo ule.
Namsubiri Nassib alete wimbo mwingine niupime kwa Mwana, kwani huu wa sasa ni mdogo mno.
Ukisikiliza ule wimbo utaona jinsi Nassib alivyokosa utulivu, na kujaribu kuleta mipasho, ambayo unaona wazi amevurugwa kabisa na ujio wa Kiba ambaye baada ya kuwa kimya kwa miaka mitatu.
Mwana ni wimbo mkali sana kwa sasa, lakini bado lilikuwa wazo la Kiba kwa mwaka 2012, itakuwaje akiweka wimbo wa wazo lake la sasa?
Ova
yaani nahisi siku ukiskia kiba amekufa utapika pilau unamchukia sana daah
Hapana bwana simchukii mimi kiba tunapiga story siku ziende mbele
Ally Kiba fans mpo?
yule yule wa jana,wa leo tofauti sana.....Ally Kiba 4real!
yaani nahisi siku ukiskia kiba amekufa utapika pilau unamchukia sana daah
i heard it now kuna mtu kantumia wa kawaida sana
Una mambo ww!Huwa natamani nikujuweeeeee......hizi fake ID usumbufu sana,waweza kuta unacomment post ya dadaako au mchepuko wako!Ha ha ha ha haaaaaa!My dear nimeuona jana clouds yaani hadi nikamuonea huruma badala ya kucheka...sauti wala utundu wowote hamna yaani umepooza kama poro la magimbi ya futari...
Ha ha ha haaaaa!Nawe wafika huku...hakika ya kale ni dhahabu!Tuko pamoja MkuuAlly Kiba fans mpo?
yule yule wa jana,wa leo tofauti sana.....Ally Kiba 4real!
Usijali mkuu tuko pamojaAlianza kuniboa jamaa nikaona lazima ajue sijapenda swali lake, ila ilikuwa mtihani kwangu wakati nikisaka namna ya kuonesha alinikera lakini bila kuchafua hali ya hewa, nashukuru nilifanikiwa.
Wajua sio rahisi mtu kuleta taarifa za kitu kuonekana ktk TV inayoonekana Africa nzima halafu uongope. Isitoshe nilifanya kwa mapenzi yangu tu kwa Kiba, wala sikutumwa. Na nilipoandika hapa ni muda ambao muziki ulikuwa ukiendelea kupigwa na Housemates walikuwa wakiendelea kucheza.
Unakumbuka kuwa Idris ya Goitse walikuwa hawaongei kabisa kutokana na issue zao za mapenzi, lakini wakati wa Mwana walicheza pamoja na ndio walikuwa wa mbele kuunga mduara. Ulikuwa ni wimbo uliowasisimua na unaochezeka, hata waliokuwa wamekaa wakainuka na kuanza kucheza.
Ila yote kwa yote simchukii buku saba namkaribisha tena na tena.
Ova
inamsaidia nini ?sauti kama asali ? any why ni king of keyboard member. kapata taarifa whatup,fb inst,twit utajua domo ni nani?