Uzi unasoma page ya 81, yaani huu uzi una mvuto wa ajabu hata asiyempenda Kiba utamkuta hapa anajipitisha pitisha ili angalau naye aonekane yupo JF. Ni wazi kabisa usipoingia hapa watu wanaweza kujua huna bundle.
Ova
Hahahaaa anamchukia mtu ambaye hamjui na wala hana mpango wa kumjua...ajifurahishe tu alale siku ziende
Una mambo ww!Huwa natamani nikujuweeeeee......hizi fake ID usumbufu sana,waweza kuta unacomment post ya dadaako au mchepuko wako!Ha ha ha ha haaaaaa!
Uzi unasoma page ya 81, yaani huu uzi una mvuto wa ajabu hata asiyempenda Kiba utamkuta hapa anajipitisha pitisha ili angalau naye aonekane yupo JF. Ni wazi kabisa usipoingia hapa watu wanaweza kujua huna bundle.
Ova
Huyo mtoa huduma hana analolielewa zaidi ya kuropokwa!!Kiba 4 real!!
ushauri wangu kwa aly kiba kwa sasa we pumzika
wachore tuuuu usishindane na mtu fanya yako ya maisha yako
huyu dadamond hana jipya hebu asikilize nyimbo zake hasa moyo wangu na mbagala ndizo zilimpaisha shauri yake yaani mpaka akosane na mademu ndio apate idea ya kutunga nyimbo.kiba tandika domo na masifa yake ya kijinga amemuiga chilla nitampata wapi huo ndio mwisho wake wa kuloga
Karibu kwenye thread ya watoto wa mjini, unamshabikia domo wakati hata vijisenti vya kununuwa single yake mbovu unataka watu wengine wanunuwe wewe usikilize bure, ni sheedar.
kuna tetesi dimond dimond na bikra wake wa kisukuma wana toa rushwa kwenye mitandao ya kijamii kumpaisha domo lakini watakwAma si hatulipwi ni mapenzi kwa kitu kizuri ambacho hakipendi sifa za kijinga.eti mpaka akaloge au ahonge media ndio ajulikane.kiba 4 real.ndio kiboko yao
Ujue Matola huyo jamaa muanzilishi wa thread ya mtaa wa pili namuonaga ana swaga flani hivi za kizee ndio maana hua sitaki kubishana nae kabisa....heshma kwa wazee ipewe kipaumbele jamani
mi jamani penye ukweli ht nisiyemkubali kimziki nampa ukweli sina chuki kihivyo ila dah wengine wanazidi jamani chochote akifanyacho mpinzani bas kibaya we have to grow up
haha hahahahaaaaa!! Mmeanza kukubali,,,
Chinga One njoeni huku, wameanza poteana..
Hawa jirani wamepagawa maana wanajitahidi kwa nguvu zote kumpa sifa bosi wao,mtu mmoja anaanzisha thread kumi kwa dk tano,aisee sijawahi ona hii kuua sisimizi kwa nyundo.