Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Uyo Kaji loga mwenye hakuna aja ya kutafuta mchawi nan..alipata bahat ya kuimba na R.Kelly akaleta ubush man sasa hapo nan mchawii..badae akasema ananyimbo na fallypupa iyo nyimbo...ikawa wiki hihi wik hihi...iko WAP..???
 
Last edited by a moderator:
Afadhali mmekiri kwamba hayupo kwenye peak. Na aliye kwenye peak mkamfahamu. Hongera kwa hilo
 
Hii thread imenikumbusha wimbo wa Rose Muhando. Aliimba "Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe."
 
Hahaaaaaa haloooooooo ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=KakaSketi]#KakaSketi [/URL] kujitongozesha na kujikatisha mauno na mambo ya #Kimombasa kidole juu.
Nikuambie kitu? Kubishana na kichaa na sisi tutaonekana vichaa.
Kilichopo kuanzia sasa naombeni WOTE kwa pamoja tumpotezee huyu #KakaSketi .
Akimtaka Th Name wake uwanja wake huu akate viuno weee, watajijua wenyewe.
Tufanye ya maana jamani, kuna kuvote na mambo mengine mengi tu.
Mbona tulimpotezea yule POPOMA Kedrick?
Basi na huyu tumpotezee,tuendelee na mambo yetu sisi kama sisi.
 
Last edited by a moderator:
Management yake na mashabiki wake ni tatizo pia. Kazi kumsifia wanasahau kumshauri vzr kipaji bila kujituma ni bure tu. More than 10yrs katika game bado unaonekana underground tu mbaya zaidi unaishi kwa mama still mashabiki wake wanamuita king haya si maajabu kweli? Mashabiki na watu wake wakaribu inabidi mtumie muda mwingi kumkosoa ili abadilike na sio kumsifia tu
 
Nikuambie kitu? Kubishana na kichaa na sisi tutaonekana vichaa.
Kilichopo kuanzia sasa naombeni WOTE kwa pamoja tumpotezee huyu #KakaSketi .
Akimtaka Th Name wake uwanja wake huu akate viuno weee, watajijua wenyewe.
Tufanye ya maana jamani, kuna kuvote na mambo mengine mengi tu.
Mbona tulimpotezea yule POPOMA Kedrick?
Basi na huyu tumpotezee,tuendelee na mambo yetu sisi kama sisi.
Ni kupoteza mda best solution in kumu ignore kwanza wanatuchafulia Uzi wetu kwa mambo yao ya ajabu. Hata a quote vipi ni kuwapotezea. Watu wazima kujitoa ufahamu.
Sasa ivi na vote kwa kwenda mbele tu basi.
Hafu let us stick to our threads yasiyo husu Uzi tuyaache kabisa.
 
Kabisa kabisa mpenzi, ni upuuzi kubishana na hawa wajinga...
Tufanye yetu na ngoja niandae ile habari ninayoizembea tokea jana tuijadili mwaya.
 
Kabisa kabisa mpenzi, ni upuuzi kubishana na hawa wajinga...
Tufanye yetu na ngoja niandae ile habari ninayoizembea tokea jana tuijadili mwaya.
Tena ukute tunabishana na chai jaba mwenyewe ndo mana hakauki kwenye Uzi ni jinsi gani ana kosa usingizi akimfikiria kiba. Vtu vingine ni utoto mbona si hatuendagi kuwaharibia Uzi wao, ka si utoto niñi sometimes huwa naona tuwapotezee coz we differ in thinking capacity.
 
Toka jana hadi saa hiv nimepiga kura 670 kwa King, bado naendelea, sisi ni TeamKazi, wengine wanashangilia kuwa nomination kwenye category mbuzi 6 badala ya kupiga kura wanabaki wanapiga majungu alaf baada ya tuzo wakikosa wataanza kutafuta mchawi. Teteteteh
 
Mkuu unahakikisha wanakuambia thanks for your vote lakini?
Yaani baada ya kuclick pale kwenye jina la King unaclick kwa pale chini yake mkono wa kulia kuna neno VOTE ndio unakua umeshapiga kura tayari.
 
Toka jana hadi saa hiv nimepiga kura 670 kwa King, bado naendelea, sisi ni TeamKazi, wengine wanashangilia kuwa nomination kwenye category mbuzi 6 badala ya kupiga kura wanabaki wanapiga majungu alaf baada ya tuzo wakikosa wataanza kutafuta mchawi. Teteteteh

Malizia kuvote basi utimize ahadi yko ya kutembea uchi post am waiting 🙏🙏🙏🙏
 
Vote vote dharau na uswahili tuwaachie wao
 
Attachments

  • 1437479221495.jpg
    1437479221495.jpg
    50 KB · Views: 91
  • 1437479235470.jpg
    1437479235470.jpg
    37 KB · Views: 85
Back
Top Bottom