Ali Kiba Fans' Special Thread...


Wanenguaji bana, mnatoka povu sanaa
 
cloudz wote team dai wanafiki et kiba alivyovamiwa na waizi wakasema anatafuta kiki yani pale labda shafih dauda ila woootee wanafiki hadi ki millard hakijaenda coke studio kwa kiba
Ile redio huwa sisikilizi mana naona machizi ni wengi watangazaji wenyewe zero brain na hvi huwa sipendi kusikiliza ujinga wao.
Redio ya wafu ile sijui kigezo cha kuajiriwa pale ni ujinga.
 

Bana nyie nengueni tu, ndicho mnachokijua na afrika inawatambua hahhhaahha wapiii iyobo. Mpen tuzo yake bana
 
Diamond tulitoboa kimataifa 2010 MTV awards najua wengi hawalijui n nyimbo ya mbagala
Aliingia best upcoming artist japo tuzo alichukua mo cheddah
 
Diamond tulitoboa kimataifa 2010 MTV awards najua wengi hawalijui n nyimbo ya mbagala
Aliingia best upcoming artist japo tuzo alichukua mo cheddah

Kumbe alikuwa chipukizi hahahahahha. Ina maana alikuwa hajajitambua kuwa yeye ni mmenguaji zaidi, uimbaj hawez
 
Watu mnalalamika clouds mbona diva anajulikana n team kiba nae yupo clouds n yule dulla wa ea radio vp
 
Leo ni ukurasa wa 1629 wa huu uzi. Lakini cha kushangaza 45% ya comments za humu zinamuhusu Diamond, 25 zinamhusu Kiba mwenyewe akipewa ushauri mwema na kupongezwa kwa mafanikio yake. Asilimia 30 ya comments ni matusi, kejeli, vijembe na maneno ya kukoseana heshima.

My take, tunaondoa maana nzima ya aliyeanzisha huu uzi. Naomba tubadilike na kujadili mambo ya msingi baada ya kuandika vitu visivyo na maana. Hali kama hii pia imejitokeza kwenye uzi wa Diamond Almasi. Tubadilike.
 
Kilimbamula tunaomba utupumzishe tafadhali.Sitaki kuamini kama huwa huwaoni wenzio wanavyokuja huku kumwaga matusi na kutuchokoza.
Ulitegemea sisi tufanye nini? Sisi ni binadamu na tuna mioyo pia ambayo haiwezi kuvumilia karaha.

Wenzio wana kazi ya kutumention hadi imekuwa kero, jukwaa limekua halina maana tena.Tunaitwa katika upuuzi tena zaidi ya mara 3 katika uzi huohuo mmoja.
Sasa hiyo ni akili? Mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya huo upuuzi?

Naomba uanze pale mwanzo wa uzi halafu utaona walionza kuchafua huu uzi ni akina nani kisha ndio uje na tahmini zako hizi.

Huo utafiti wako sikubaliani nao hata kidogo. Hizo asilimia zako baki nazo tu.

Hata hivyo kuanzia sasa tumeamua kuwapotezea tu, wewe nimekujibu ili kuweka mambo sawa.
 
Wito wangu kwa Kiba, afollow watu wengine, hasa wasanii.
Nitapiga hii kelele, kila siku.
Hao clouds, muda utashughulika nao.Si mnaona dahuu kaumbuka.
 
Wito wangu kwa Kiba, afollow watu wengine, hasa wasanii.
Nitapiga hii kelele, kila siku.
Hao clouds, muda utashughulika nao.Si mnaona dahuu kaumbuka.

Ona hapa
 

Attachments

  • IMG-20150722-WA0012.jpg
    7.2 KB · Views: 124
Hivi Ali Kiba c alisema hawezi n hataki kufanya kazi n wa Nigeria et ataiua bongo fleva au inakuaje sasa hii sema davido mjanja sn nishajua anachotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…