Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nahamu sana ya kuuona huo wimbo kiukweli.Mambo yangu yako poa mumy.Nakuambia huo wimbo nausikia tu, nimejaribu kufuatilia kuna link Viol aliweka humu nashindwa kudownload sijui tatizo ni nini.
Laba aje atuwekee hapa tena tujaribu sote.
Hii ngoma nilishaizungumzia humu kitambo na kwa taarifa za kipindi kile fundi kiba ilikuwa ashirikishwe tu na tundaman lakini kwa balaa aliolifanya kiba, tundaman akamuomba king asifanye ndalilo kiba apige tu chorus halafu verse zote apige mwenyewe tundaman. .ila kila tundaman akiandika na kutafuta melody alijikuta anapotea hafiki pale king anapomsubiria kimelody. ..tundaman alichana karatasi kama 80 hivi kutafuta verse zitazotosha kwenye chorus ya king so sitashangaa kama tundaman ameamua heri lawama kuliko fedheha kuamua kumwachia king aue mwenyewe kabisa kwani ile chorus sijaona msanii anayetoshea hapa ile chorus ni kina cha nungwi...ile ngoma king akiirelease official kama yake,mji utahama huu......baby! baby! baby! Tangu school baby! Hatuachani baby. .....
Hiyo ni demo tu, maana yake ni ya kusikiliza...kama akiamua kuutoa ndio tutegemee video baadae.Mi nahamu sana ya kuuona huo wimbo kiukweli.
Jombaa Anatisha.
Colabo ya wimbo maalum??
Jombaa Anatisha.
Kwan jna la king alimpa mchumia tumbo gan mbna afananii