Ali Kiba Fans' Special Thread...

Huo wimbo wa kiba sijui baby school mwenye nao auweke hapa basi pwilo Leo uko api nifah mambo yako vipi
 
Last edited by a moderator:
Huo wimbo wa kiba sijui baby school mwenye nao auweke hapa basi pwilo Leo uko api nifah mambo yako vipi
Mambo yangu yako poa mumy.Nakuambia huo wimbo nausikia tu, nimejaribu kufuatilia kuna link Viol aliweka humu nashindwa kudownload sijui tatizo ni nini.
Laba aje atuwekee hapa tena tujaribu sote.
 
Last edited by a moderator:
Huo wimbo wa kiba sijui baby school mwenye nao auweke hapa basi pwilo Leo uko api nifah mambo yako vipi

Hii ngoma nilishaizungumzia humu kitambo na kwa taarifa za kipindi kile fundi kiba ilikuwa ashirikishwe tu na tundaman lakini kwa balaa aliolifanya kiba, tundaman akamuomba king asifanye ndalilo kiba apige tu chorus halafu verse zote apige mwenyewe tundaman. .ila kila tundaman akiandika na kutafuta melody alijikuta anapotea hafiki pale king anapomsubiria kimelody. ..tundaman alichana karatasi kama 80 hivi kutafuta verse zitazotosha kwenye chorus ya king so sitashangaa kama tundaman ameamua heri lawama kuliko fedheha kuamua kumwachia king aue mwenyewe kabisa kwani ile chorus sijaona msanii anayetoshea hapa ile chorus ni kina cha nungwi...ile ngoma king akiirelease official kama yake,mji utahama huu......baby! baby! baby! Tangu school baby! Hatuachani baby. .....
 
Last edited by a moderator:
Mambo yangu yako poa mumy.Nakuambia huo wimbo nausikia tu, nimejaribu kufuatilia kuna link Viol aliweka humu nashindwa kudownload sijui tatizo ni nini.
Laba aje atuwekee hapa tena tujaribu sote.
Mi nahamu sana ya kuuona huo wimbo kiukweli.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu zama chimbo tuletee utamu hapa kijiweni.
 
Hapa Bongo kuna msanii moja tu aliyethubutu kufanya colabo tena ya kingereza na msanii gwiji in the world from USA,mean THE KING OF R&B, R.KELLY naye ni KING pekee tu. Wengine hawa ni porojo tu hakuna lolote. Wanabakia na vicolabo vya Nigeria,Ghana humu humu in the black land.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…