Mkuu vipi mzima?,eti mbona najaribu upload attachments za picha lakini inakataa ni kwa nini?...ni kwangu tu au hadi kwako hii?
niko poa kaka. maisha yaenda
as usual, nimewamiss sana humu ndani
poa poa mkuu, hebu nisaidie kumwita pwilo
usijali ngoja nikamtafute huyu pwilo
mpya ipo mkuu kuhusu kiba na bellahamna labda kama una mpya. peterchoka alikuwa anakuita
tuko poa. labda network. picha za nini?
mpya ipo mkuu kuhusu kiba na bella
hapana mkuu ila soontayari imeshatoka au
jana mashabiki wa kiba walimfuata bella kwake ili kuulizia bella alipewa pesa ili watu wasikilize kidogo bella akakataa ila kasema mwezi wa nane inatoka bella "hii nyimbo ina dhihirisha ubora wa kiba kwenye mziki na itampatia show nyingi ndani na nje ya nchi" bella said kings of best melodytayari imeshatoka au
Picha za king...katika mambo fulani hivi amazing!!!