Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

tayari imeshatoka au
jana mashabiki wa kiba walimfuata bella kwake ili kuulizia bella alipewa pesa ili watu wasikilize kidogo bella akakataa ila kasema mwezi wa nane inatoka bella "hii nyimbo ina dhihirisha ubora wa kiba kwenye mziki na itampatia show nyingi ndani na nje ya nchi" bella said kings of best melody
 
Back
Top Bottom