Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sawa ngoja nifanye ivyo mkuu maana apa natumia browser ya simu(s4) lakini napojaribu kuapload picha inakataa na nina habari nyingi tu za king!!!
Hebu tumia application ya Tapatalk ni nzuri haisumbui kabisa
 

Inamrudsha kwani amepotea?
 

hata me naamini itakuwa ngoma kali sana. let us wait for that song mafundi wanapokutana hakiharibiki kitu
 
kiba bwana kamwambia bella kausha usiivujishe ndo mana bella katulia na kiba katulia wait and see "bella "hii ngoma ni kali nimependa kiba anavyopandisha na kushusha melody hadi nimefurahi sana" christian bella(king of best melody) bella anajua sana yule jamaa kwenye nyimbo ya "subira"ya cassim mganga ilibidi cassim afute baadhi ya mistari ya bella mana angepotezwa halafu nyimbo ya kwake
 
Nina furaha ya nafsi tu mkuu
mkuu ila kiba yule anaweza kutunza siri na kukaa navyo mda mrefu ukisikia story ya wizkid na davido kuhusu kiba basi utaamini kiba anafanya mziki hashindani na mtu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…