Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

jana mashabiki wa kiba walimfuata bella kwake ili kuulizia bella alipewa pesa ili watu wasikilize kidogo bella akakataa ila kasema mwezi wa nane inatoka bella "hii nyimbo inamrudisha kiba kwenye mziki na itampatia show nyingi ndani na nje ya nchi" bella said kings of best melody

Inamrudsha kwani amepotea?
 
hata me naamini itakuwa ngoma kali sana. let us wait for that song mafundi wanapokutana hakiharibiki kitu
 
kiba bwana kamwambia bella kausha usiivujishe ndo mana bella katulia na kiba katulia wait and see "bella "hii ngoma ni kali nimependa kiba anavyopandisha na kushusha melody hadi nimefurahi sana" christian bella(king of best melody) bella anajua sana yule jamaa kwenye nyimbo ya "subira"ya cassim mganga ilibidi cassim afute baadhi ya mistari ya bella mana angepotezwa halafu nyimbo ya kwake
 
Nina furaha ya nafsi tu mkuu
mkuu ila kiba yule anaweza kutunza siri na kukaa navyo mda mrefu ukisikia story ya wizkid na davido kuhusu kiba basi utaamini kiba anafanya mziki hashindani na mtu"
 
Back
Top Bottom