Ali Kiba Fans' Special Thread...

mi naona kiba hayupo serious. mwezi wa nane hu ana audio na video moja wakati nyimbo zipo kwenye makabati

Bora kwa wakati uu asubirie alijichelewesha Ku release new song,video sasa attentions yote uchaguzi bora asubirie asije Fanya biashara kichaa
 
mi kila siku nawaambia huu mwaka ni wa kiba
 
tulieni
 

Attachments

  • 1438535775924.jpg
    17.5 KB · Views: 179
Th Name kuna watu watakimbia kwa muda humu kuna kama ngoma tano zinakuja tumechoka zarau sisi #nagharamia hiyoooo
 
Last edited by a moderator:
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hapy day ukitaka kusikia kipande ....... ni balaa
 
Tatizo cyo sauti tatizo lake ni video na style za uchezaji, akiboresha hivyo atang'aa xana
 
mkuu Th Name jf inasumbua na attach unakataa comment failed au ni kwangu tu mkuu Th Name
 
Last edited by a moderator:
Th Name twitter kwa a/c yake naona mi inasumbua mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…