pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
sasa kuna show ile ya sauti za busara aisee kapiga live 45'Jamani mmeiona Churchill Show ya King Kiba huko YouTube?
O.M.G! Nimemvulia King kofia....ana sauti nzuri mnoooooo.
Dah, huyu mtu hana mpinzani kwakweli.
Hongera zako Kiba, Allah kakutunuku kipaji cha kipee, kitumie kutupa raha sisi mashabiki wako wa damu.