Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani mmeiona Churchill Show ya King Kiba huko YouTube?
O.M.G! Nimemvulia King kofia....ana sauti nzuri mnoooooo.
Dah, huyu mtu hana mpinzani kwakweli.
Hongera zako Kiba, Allah kakutunuku kipaji cha kipee, kitumie kutupa raha sisi mashabiki wako wa damu.
sasa kuna show ile ya sauti za busara aisee kapiga live 45'
 
kiba hatari hiyo show niliiona dah!, kwani nifah wewe si una access ya kuonana na kiba
Hatari sana na naomba kutumia fursa hii kumuomba King afanye collaboration na yule dogo anajua sana halafu ni shabiki wake wa ukweli.
Yap, access ninayo ila dogo langu la ukweli Abou Saydou ndio mpango mzima kwenye access ya chochote kuhusu Kiba.
 
Last edited by a moderator:

mi naona kiba hayupo serious. mwezi wa nane hu ana audio na video moja wakati nyimbo zipo kwenye makabati
 
Last edited by a moderator:
Hatari sana na naomba kutumia fursa hii kumuomba King afanye collaboration na yule dogo anajua sana halafu ni shabiki wake wa ukweli.
Yap, access ninayo ila dogo langu la ukweli Abou Saydou ndio mpango mzima kwenye access ya chochote kuhusu Kiba.
Teh Teh
Habari yako nifah..
sasa kuna show ile ya sauti za busara aisee kapiga live 45'

Jamani mmeiona Churchill Show ya King Kiba huko YouTube?
O.M.G! Nimemvulia King kofia....ana sauti nzuri mnoooooo.
Dah, huyu mtu hana mpinzani kwakweli.
Hongera zako Kiba, Allah kakutunuku kipaji cha kipee, kitumie kutupa raha sisi mashabiki wako wa damu.
 
Last edited by a moderator:
Habari njema ni kwamba King mwenyewe hua anapitia huu uzi, bila shaka hili ataliona na kulifanyia kazi.

Usisahau kuja lile jukwaa lingine la kule mwanawani!....kuwa makini usipotelee huku!
 
Back
Top Bottom