Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

r kelly alichomwambia neyo kabla hajakutana na kiba ni balaa picha hata cc tunaweza tunataka kazi
 
Attachments

  • 1439895038064.jpg
    1439895038064.jpg
    95.7 KB · Views: 122
local artist kaomba picha tu kiba hawezi kufanya nae colabo ni local hahaha jokes #rockstar 4000presents
 
kinachoendelea kenya kwenye cokestudio ni aibu kwa upande wa pili
 
Attachments

  • 1439905715677.jpg
    1439905715677.jpg
    26.8 KB · Views: 109
twiter insta hapafai yanewafika hapaa team wapenda sifa
 
Attachments

  • 1439905809602.jpg
    1439905809602.jpg
    38.8 KB · Views: 155
yamewafika hapaa leo kitaeleweka nani local nani internationa
 
Naskia huyo jamaa ni team diamond kajikomba kwa kiba

Huyo ni Meneja wa Nassib, na mpango ulikuwa ni kujaribu kupunguza mvumo wa Collabo ya King Kiba na Ne-Yo kwa hiyo wakapanga huyo Sallam aende Nairobi afanye mpango akutane na Ne-Yo na kufanya kikao chochote na wapige picha kisha kuzimwaga mtandaoni ili kukabiliana na picha za King Kiba.
Yaani kwa akili yake, kwa jinsi walivyoweza kumsogelea Ne-Yo kirahisi walipokuwa kwenye maandalizi ya show ya tuzo za MTV Africa akadhani kuwa na Nairobi itakuwa hivyo pia, wakati kwenye MAMA wao walikuwa kundini, matokeo yake kaishia kupiga picha na King Kiba tu na akamganda kweli.
Hakuna wakati ambao Sallam amepata aibu kama huu, kwani mtu ambaye alikuwa akimtukana na kumdhalilisha kila siku ndiye aliyemuokoa kwani baada ya kuhojiwa anachohitaji kwenye kambi ya Coke Studio akaishia kusema amemfuata King Kiba, ndio akaruhusiwa kuonana naye wakati wasanii wanapata msosi.

Ova
 
sema wamemkuta kiba mpole tu masikini

Kiba namkubali kwa mengi sana, always najifunza mengi kupitia yeye.
Kama hiyo picha yake na Salaam ni kua usilipe ubaya kwa ubaya, sijui huyo jamaa kapata aibu kiasi gani.
Mbaya sana mtu unamfanyia ubaya halafu yeye wala hajali anacheka na wewe as if hakuna lililowahi kutokea.
 
nenda insta a/c ya neyo ukacheke mpaka basi ila hamna post ya daimond ni za kiba tu ndo wakwanza kumtaja walikutana mtv ila neyo hakumpost daimond ila leo neyo kampost yuko na kiba wanamuelewa
 
Kiba namkubali kwa mengi sana, always najifunza mengi kupitia yeye.
Kama hiyo picha yake na Salaam ni kua usilipe ubaya kwa ubaya, sijui huyo jamaa kapata aibu kiasi gani.
Mbaya sana mtu unamfanyia ubaya halafu yeye wala hajali anacheka na wewe as if hakuna lililowahi kutokea.

"Nilikubali kupiga naye iyo selfie makusudi kwasababu nilijua tu watu watamsema ,Mimi sio kanjanja" by Kiba
 
"Nilikubali kupiga naye iyo selfie makusudi kwasababu nilijua tu watu watamsema ,Mimi sio kanjanja" by Kiba

Sijaelewa vizuri dogo, yeye sio kanjanja kivipi? Watu watamsema...akina nani?
Fafanua kidogo.
 
Sijaelewa vizuri dogo, yeye sio kanjanja kivipi? Watu watamsema...akina nani?
Fafanua kidogo.

Baada ya huyo jamaa kumshambulia Kiba Mara kwa mara ,mashabiki Wa Kiba hawampendi so Leo walipoiona hii picha ya pamoja wakaja juu ,Kiba alipoulizwa akajibu kwamba amefanya makusudi kupiga nae hyo picha kwasababu mashabiki watakapoiona watampaka jamaa kwa maneno ya shombo na ndio kilichotokea akaongeza kwamba yeye anajielewa ndiomana akafanya hivyo .
 
Back
Top Bottom