George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
kumbe ni abydady amefanya hii kazi ya LUPELA..!!!I swear to god all music lovers wataipenda hii video na audio ya lupela abydad katisha sana na beat lake lile #hifadhi hii post cc Nifah peterchoka Th Name na team KIBA mtaipenda hii
hahaha mamii unasumbuka na hao viumbe me nilishaacha kubattle nao, wataipenda tu someday maana wao ni wazee wa kuchelewa, ilipotoka mwana walisema mbaya, ilivyotoka chekecha walisema bora mwana ilikuwa nzuri, kwahiyo wataappreciate tu siku mojaSina muda wa na ligi na mtu,nipo na-enjoy Lupela,nyie lieni tu.
Shikamoo Kiba,sio kwa hii ngoma!!!!!
Huo muda naupatia wapi?Naenjoy Lupela mie.hahaha mamii unasumbuka na hao viumbe me nilishaacha kubattle nao, wataipenda tu someday maana wao ni wazee wa kuchelewa, ilipotoka mwana walisema mbaya, ilivyotoka chekecha walisema bora mwana ilikuwa nzuri, kwahiyo wataappreciate tu siku moja
Hawa wanajifanya mashabiki KINDAKINDAKI ndio wanaompotosha kiba!! Unajua hata kama unampenda lakini anapokosea inabidi kumwambia ili arekebishe, wao wanakazi ya kusifia tuuuuuu!! Wanaharibu sana..nini maana ya shabiki KINDAKINDAKI...
una maana ni shabiki ambaye anapingana na UKWELI ama...
samahani lakini,nimeuliza kwa lengo la kutaka kujua maana ya shabiki KINDAKINDAKI...
maana usije ukanitukana bure,maana mashabiki wa Ali Kiba na Diamond wanakuaga na MATUSI sana ukiongea ukweli kuhusu wasanii wao..!
Naona umejipa hatimiliki mwenyewe eti ‘sie ndo mashabiki wake’ hahahahhahhhh!!Kafie mbali huko,na mgazeti wako mreeeefu hakuna lolote pumba tupu.
You are just a hater na huna impact yoyote,sisi mashabiki tena wale KINDAKINDAKI tunasema asante Ali Kiba kwa hii ngoma.
Binafsi hadi sasa sijalala naserebuka tu jinsi ngoma ilivyo kali.....
Huo muda ninao sasa?Naenjoy good music kutoka kwa King,wewe ndio ujinyonge tu.Naona umejipa hatimiliki mwenyewe eti ‘sie ndo mashabiki wake’ hahahahhahhhh!!
Nifah tukana unavyoweza, bisha, kasirika, jiue, jinyonge ila ukweli uko wazi!! Hapa ‘kingi’ amebugi..
Mpaka yesu arudi tenavideo itakua mtandaoni lini??
At least umesema ukweli....Dah, Balozi wa Wanyama (Simba, Paka, Panya, Mbwa, Mbuzi, Ng'ombe Nyumbu na wanyama wengine wote) katisha kwenye Lupela.
Naomba ikiwekwa nicheki PM unishtue pls.Video wamepewa wazungu wamesema Leo wataiweka maana KIBA mwenyewe yupo Kenya sasa tusubirie
At least umesema ukweli....
Hilo tu.