Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

I swear to god all music lovers wataipenda hii video na audio ya lupela abydad katisha sana na beat lake lile #hifadhi hii post cc Nifah peterchoka Th Name na team KIBA mtaipenda hii
kumbe ni abydady amefanya hii kazi ya LUPELA..!!!
sasa ametisha nini ndugu yangu..?
ina maana haujaona mapungufu kabisa kwenye hii beat...
ebu kuwa serious kidogo mkuu..!
 
Sina muda wa na ligi na mtu,nipo na-enjoy Lupela,nyie lieni tu.
Shikamoo Kiba,sio kwa hii ngoma!!!!!
 
Sina muda wa na ligi na mtu,nipo na-enjoy Lupela,nyie lieni tu.
Shikamoo Kiba,sio kwa hii ngoma!!!!!
hahaha mamii unasumbuka na hao viumbe me nilishaacha kubattle nao, wataipenda tu someday maana wao ni wazee wa kuchelewa, ilipotoka mwana walisema mbaya, ilivyotoka chekecha walisema bora mwana ilikuwa nzuri, kwahiyo wataappreciate tu siku moja
 
hahaha mamii unasumbuka na hao viumbe me nilishaacha kubattle nao, wataipenda tu someday maana wao ni wazee wa kuchelewa, ilipotoka mwana walisema mbaya, ilivyotoka chekecha walisema bora mwana ilikuwa nzuri, kwahiyo wataappreciate tu siku moja
Huo muda naupatia wapi?Naenjoy Lupela mie.
Kubattle nao ni kama umekubali wanayoyasema ila unatumia nguvu nyingi kupingana nao.

Pokea zangu salamu,wangu mimi
Mambo yameshakuwa,nahitaji kukuoa.....

Uwiiiiiiii hii Lupela ni shiiiidah!
 
nini maana ya shabiki KINDAKINDAKI...
una maana ni shabiki ambaye anapingana na UKWELI ama...
samahani lakini,nimeuliza kwa lengo la kutaka kujua maana ya shabiki KINDAKINDAKI...
maana usije ukanitukana bure,maana mashabiki wa Ali Kiba na Diamond wanakuaga na MATUSI sana ukiongea ukweli kuhusu wasanii wao..!
Hawa wanajifanya mashabiki KINDAKINDAKI ndio wanaompotosha kiba!! Unajua hata kama unampenda lakini anapokosea inabidi kumwambia ili arekebishe, wao wanakazi ya kusifia tuuuuuu!! Wanaharibu sana..
 
Kafie mbali huko,na mgazeti wako mreeeefu hakuna lolote pumba tupu.
You are just a hater na huna impact yoyote,sisi mashabiki tena wale KINDAKINDAKI tunasema asante Ali Kiba kwa hii ngoma.
Binafsi hadi sasa sijalala naserebuka tu jinsi ngoma ilivyo kali.....
Naona umejipa hatimiliki mwenyewe eti ‘sie ndo mashabiki wake’ hahahahhahhhh!!
Nifah tukana unavyoweza, bisha, kasirika, jiue, jinyonge ila ukweli uko wazi!! Hapa ‘kingi’ amebugi..
 
Naona umejipa hatimiliki mwenyewe eti ‘sie ndo mashabiki wake’ hahahahhahhhh!!
Nifah tukana unavyoweza, bisha, kasirika, jiue, jinyonge ila ukweli uko wazi!! Hapa ‘kingi’ amebugi..
Huo muda ninao sasa?Naenjoy good music kutoka kwa King,wewe ndio ujinyonge tu.
 
Yani MTU apoteze mda atunge nyimbo ifanyiwe video USA halafu nyie vijana watandale mje kuioponda
Maana kwa unafiki nyi nyi video haijatoka mshaanza majungu audio kabla haijatoka mlisema mbaya #huo sio ushabiki ni chuki #lupela subirini video sasa
 
Video wamepewa wazungu wamesema Leo wataiweka maana KIBA mwenyewe yupo Kenya sasa tusubirie
 
Dah, Balozi wa Wanyama (Simba, Paka, Panya, Mbwa, Mbuzi, Ng'ombe Nyumbu na wanyama wengine wote) katisha kwenye Lupela.
 
[Verse 1]
Pokea zangu salamu, wangu mimi
Mambo yameshakua, nahitaji ku(oa) kua
Kwanza uwe na mume, utambe na uringe
Nami niwe na mke, ili unichunge
Mng’aro wa nuru yako, kama mbalamwezi
Na uzuri wa macho yako, kama yana machozi
[Chorus]
Lupe, Lupe, Lupe (Lupela)
Umeumbwa mamaa! (Lupela)
Uje uwe wangu, inapendeza
Lupe, Lupe, Lupe (Lupela)
Lupe, Lupe (Lupela)
Uje uwe wangu
Inapendeza jiuwi uwi (Lupela), jiuwi uwi (Lupela), jiuwi uwi (Lupela)
Inapendeza, Lupe, Lupe (Lupela)
Ah Lupe, uje uwe wangu
Inapendeza
[Verse 2]
Honeymoon, wapi twende visiwani?
Ama chini baharini? Au tupae angani? (Lupela)
Mi papaa sio judge, nawe mama sio judge (Lupela)
Leo tuifishe la’arjhi, wal adal ghaudi
[Chorus]
Lupe, Lupe, Lupe (Lupela)
Umeumbwa mamaa! (Lupela)
Lupe wangu, inapendeza
Lupe, Lupe, Lupe
Uh, Lupe uwe wangu
Inapendeza jiuwi uwi uwi (Lupela), jiuwi uwi uwi (Lupela), jiuwi uwi (Lupela)
Inapendeza, Lupe, Lupe (Lupela)
Ah Lupe, uje uwe wangu
Inapendeza
[Outro]
Waite-ite, marafiki zako
Baba, mama yako, waje!
Lupe, Lupe eh
Waje wacheze, aah
Lupe, pela
Lupe wewe, unantea
Lupe, Lupela
 
Back
Top Bottom