Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Wacha maneno yako wewe mi sio Muuza Sura.
jaman malumbano ya nini? muziki huu wa bongo ni watanzania na wasanii ni wa kwetu pia.. tukiendeleza siasa namna hii hatujengi, tutabaki hapahapa tulipo.. kuna wasanii wengi sana wazuri tanzania bado wanahitaji attention na support yetu, mbona wenzetu nigeria wanapeana tafu bila kuweka pande mbili tofauti? marekani pia? if kiba hajatoa video mpaka leo hilo ni la menejimenti yake tuwaachie hao, na diamond nae katoa wimbo mpya tuusuport pia na tukumbuke hili wiki barnaba na vanessa wametoa wimbo wa siri, young killer ft. fid q, songa, na wengine..... tuupende mziki wetu na tupendane sisi kwa sisi na tukumbuke media ni kitu kimoja chenye nguvu sana tusitumie vibaya..
Ilivyotoka mwana Dar es salaam kuna wapambe walikuwa sitting room wakati nassib yupo room na madam wao ila kwakuwa ngoma ya mwana ni kali wale wana sebuleni walishindwa kujizuia kumsikiliza kiba. .dah!nassib full kumind na kuwaita masnitch. ....
Heshima kwako mkuu!Hii zawadi wapewe mashabiki huru kama mimi......wale wa mahaba niue kupost tu ni zawadi tosha!Sio kwamba najifagilia,uwezo ninao ,nia ninayo pia nguvu ninayo!Tumuombe Mungu uzima hakika hii zawadi yangu aiseee...................ha ha ha haaaaaaa!
timu bora n magoli cku zote,mtu hajawah kuwa nominees katka tuzo zozote zaid ya kill mtasemaje n king.
Hivi waona fahari kutumia picha ya mwanaume mwenzio?What does it mean????Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiii au ndo mambo ya pwani nn??
We babu sijakuelewa
Nani kakuambia hawajaweka pande mbili tofauti? Umeshaenda Nigeria ukaona hakuna pande mbili tofauti? Kwa taarifa yako Nigeria wako pande mbili hadi kumi. Ina maana hujui kama Wizkid na Davido wamegawanyika wao na mashabiki wao?
Unajua kwanini P Square hawana collabo nyingi za wanamuziki wa Nigeria?
Hata Marekani, waliokuwa marafiki wakubwa wakati wakihangaika kutoka Tupac Shakur na Christopher Wallace nao waligawanyika pande mbili na mashabiki wao wakagawanyika.
Ova
Kiba anazidisha ukimya mwenzake katoa wimbo na video mpya sasa hivi diamond anakimbiza kiba hata akitoa video ya mwana kashachelewa,heri tu atoe wimbo mpya
Moja! Unamfahamu R Kelly? Alishaimba na Kiba na wimbo ukawa Billboard.
Mbili! Unamfahamu Ice Cube? Nitajie Tuzo kubwa za muziki alizowahi kupata kabla hajaamua kukaa moja kwa moja kwenye movie.
Kwa kukusaidia karibu nyimbo kali zote za Hip Hip/Rap za miaka ya 90 sauti yake ilikuwamo.
Ova
Hivi waona fahari kutumia picha ya mwanaume mwenzio?What does it mean????Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiii au ndo mambo ya pwani nn??
We babu sijakuelewa
Dah wewe jamaa una habari zako flani hivi motomoto hatariiii...
Hao wapambe nahisi ni petit man na Martin ndio maana ndomo hawapendi balaa,hasa petit....
Petit na diamond haziendi..wema ndo kidogo anawaleta karibu ila full kichina. ..hao watoto kina petit wakiwa kwa madam wao utawaonea huruma ikitokea nassib anahitaji kitu km soup wanavyorushwa kama vitoroli
unacheka kama junya,au shoga yao wewe.??
Haiwezekani upate wewe ambaye uko pande mbili huku kwa watoto wa mujini na kule kwa bush men...
Anatakiwa apate mshabiki wa damu a.k.a die hard fan
Aisee huyo jamaa msamehe tu mwenyewe anajijua alivyo mbovu bora hiyo picha hapo...
Siku akiweka yake wenye roho nyepesi tutakosa usingizi....
uta elewa tu.
Babu vipi ha ha ha imenibidi nicheke sana nimeona unalalamika nini shida babu weye
Usipotia timu kwenye thread hii dunia yote inajuwa umeishiwa bundle na mfukoni kemcho nehi.