Babu vipi ha ha ha imenibidi nicheke sana nimeona unalalamika nini shida babu weye
Kumbe yuko pande mbili asipewe maana haeleweki baridi au vuguvugu
Petit na diamond haziendi..wema ndo kidogo anawaleta karibu ila full kichina. ..hao watoto kina petit wakiwa kwa madam wao utawaonea huruma ikitokea nassib anahitaji kitu km soup wanavyorushwa kama vitoroli
Kwendraaaa mwanzo ulikua unasema sisi tunahesabu pages nashangaa kule kwako na bush men wenzio umeanza kuhesabu..
Naona hii offer imekuuma sana,eti hatujiwezi kwani siku zote tunaingia na nini humu?jaribu basi na hii kama unaweza babu kuigaiga wewe....
Usijaribu kuleta yale matusi yako hapa sio pahala pake,peleka huko kijijini kwenu...
Babu vipi ha ha ha imenibidi nicheke sana nimeona unalalamika nini shida babu weye
Mhhh shoga ni wewe uliyemuomba babu baby ako akutumie lile taputapu la video huko pm nini?maana kule anatamba hatariiii
Nakuambia...madai yake eti atabakia kua shabiki mtiifu wa pande zote mbili...tunataka 1 side na ni Kiba tu...
Shida una ninyima namba mjukuu wangu sie wazee twajua kulea ati sio hao wauza sura wenu watoto mchele mchele.
Kweli babu Una maneno weye mi mjukuu siwezi kumpa babu namba kirahisi hivo tena unavopenda kujisifia mie wala utaishia kunisoma kwenye nyuzi tu
Mhhh shoga ni wewe uliyemuomba babu baby ako akutumie lile taputapu la video huko pm nini?maana kule anatamba hatariiii
Hahaaaa kama video tu katangaza mengine je?hihiiii shaurizako bibie
Kasema atamtangaza....uwiiiii au ni geniveros nini jamani?
Petit na diamond haziendi..wema ndo kidogo anawaleta karibu ila full kichina. ..hao watoto kina petit wakiwa kwa madam wao utawaonea huruma ikitokea nassib anahitaji kitu km soup wanavyorushwa kama vitoroli
Unajua Petit Man ni rafiki mkubwa wa Chalz Baba, na alianza kuwa karibu na Wema alipokuwa mpenzi wa Chalz Baba. Sasa ile hali imemfanya Nassib asiwe na amani na Petit Man.
Sasa Petit Man kazidi kumtia hasira Nassib kwa kumgongea dada ake, na nasikia kampiga mimba ndo akalamishwa amuoe, ilipopangwa tarehe ya harusi tu Nassib akaondoka Bongo ili asihudhurie.
Ova
daaa hii thread ina vituko sana raha kusoma comment,uzalendo umenishinda imenibidi nichangie maana mmenivunja mbavu mnavyo mshambulia rafiki yangu Chinga! akigeuka nchale akiinaama nchale,akikimbia nchale! hahaha jf kuna vituko sana!
We mchonganishi unajua!!!