Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mhhh shoga sikuambii kitu tena kuhusu babu baby ako kaniita mchonganishi...isijekua nampeperushia ndege bureee

Shogaaa niambie yule kapaniki tu babu anataka kutuvuruga ndege hampati hata kwa dawa
 
nakshi nakshi mrembo ulowatosa matoz na vigogo ukaja kwangu ukawapa visogoo..... i love the song
 
ukiwa na dada hukosi shemeji atulize mshono dogo naseeb watu wapige mambo

nimeamini maisha bila Unafki hayaendi...huu uzi ndo unaitwa ally kibaz special thread lakini unamjadili Dai na familia yake...halafu watu haohao wanakwambia Hawampendi Dai

Maisha bila Unafki hayaendi.............
 
Utapata madakesi sasa hivi,mwenzio Chinga hiyo ni gharama ya mwaka mzima,akiona hiyo lazima Chinga afw*ariki dunia.
 
Last edited by a moderator:
nimeamini maisha bila Unafki hayaendi...huu uzi ndo unaitwa ally kibaz special thread lakini unamjadili Dai na familia yake...halafu watu haohao wanakwambia Hawampendi Dai

Maisha bila Unafki hayaendi.............

Kweli nimeamini usipotia maguu kwenye uzi huu Wananchi ni lazima waamini umeishiwa bundle.
 
Karibunh wote team domo maana mnachungulia wee mwisho imani inawashinda mnaingia tunawachabo tu hata ukiona hatujakuquote ila jua tumekuona ila tunakupotezea,heheheiiyaaa karibu sana hii ndo Ally K fans bana.
 
nimeamini maisha bila Unafki hayaendi...huu uzi ndo unaitwa ally kibaz special thread lakini unamjadili Dai na familia yake...halafu watu haohao wanakwambia Hawampendi Dai

Maisha bila Unafki hayaendi.............

kule mnavyomjadiligi kiba na sisi uzi umeandikwaje kwani!??? nyani haoni ku...le
 
Karibunh wote team domo maana mnachungulia wee mwisho imani inawashinda mnaingia tunawachabo tu hata ukiona hatujakuquote ila jua tumekuona ila tunakupotezea,heheheiiyaaa karibu sana hii ndo Ally K fans bana.

uzalendo unawashinda chezea kiba wewe, wanamkataa midomoni mioyoni wanamkubali wanaishia kugugumia tuu na kelele nyingiii
 
nimeamini maisha bila Unafki hayaendi...huu uzi ndo unaitwa ally kibaz special thread lakini unamjadili Dai na familia yake...halafu watu haohao wanakwambia Hawampendi Dai

Maisha bila Unafki hayaendi.............

Kwendraaaa,kuna mnafiki kama wewe hapa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…