Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Roho imenipasuka jamani.....zawadi ni zawadi tu asikuambie mtu,unaweza ukawa tajiri wa kila kitu lakini ukapewa zawadi hata ya ua likakutoa machozi!!!
Unajua kuappreciate mpaka raha yaani sometimes unamjengea picha mtu kwa anavyoandika. ..nna asilimia 100 kale kachupi chafu hakiwezi kuandika hivi. ..vitoto kama vile hata ukivitoa dinner havichelewi kukuambia hiyo hela bora ungempa yeye akasuke. ...kiswaziswazi kipo