So what??Hayo yote yawe ila sie kwa Kiba tumefikaa!!tungo matata,nyimbo tamu,ustaarabu,mziki usiochuja mengine hayo ndo ayafanyie kaziii
Ally k 4real namkubali sana tungo zke zimesimama pia sauti anayo akipata management nzuri atafika mbali sana,wazee w location kila cku kuimba mapenz 2 n kutafuta kick z kijingajinga
So what??Hayo yote yawe ila sie kwa Kiba tumefikaa!!tungo matata,nyimbo tamu,ustaarabu,mziki usiochuja mengine hayo ndo ayafanyie kaziii
hili neno mkuu, management kwa msanii ni suala la kuangalia sn haswa kwa muziki wa bongo ulojaa fitna za kila aina, Kiba ni mwanamuziki mzuri mnoo ila management ndio hana nzuri, hilo lazima alifanyie kazi.
daaah bado tuuuuu
So what??Hayo yote yawe ila sie kwa Kiba tumefikaa!!tungo matata,nyimbo tamu,ustaarabu,mziki usiochuja mengine hayo ndo ayafanyie kaziii
video miezi minne ilopita!!!!!! mbona km mchelemchele?? alafu analinganisha video views za enzi hizooo hata mie bado natumia kitochi na video za leo jamani!!!
Ubishani huu tulishaumaliza Leaders club shaidi ni TI na Davido, hizo nyingine ni porojo tu.
Nachukia sana mtu anayeweka link ya uzi mwingine kwenye uzi mwingine. Hakuna mwenye mipaka ya kutoingia uzi wowote hapa JF. Akiingia tu JF atauona na akitaka ataingia kuusoma.
Ova
Huchukii kama mimi Mdakuzi hasa anayeleta habari za ndomo humu....sipati picha tungekua tunachart face to face humu ningeua mtu!hahaaaaa
Nimechagua moja mrembo kubaki kwa watoto wa town.......Nakupendaje yaani!Hongera kwa mshindi ingawa mashabiki wote Ally Kiba ni washindi....Hii ni kwa wale wanaodhani watu tuko hapa kwa ajili ya ile complimentary aliyotoa Matola....
Iko wazi hakuna asiyejua kua mimi ni die hard fan wa King Kiba,nitaendelea kumsapoti kwa nguvu zangu zote sio kwa sababu ya zawadi....thou nilikua naitamani hatariiii...lol
Naamini tutaendelea kua na mshikamano kama/hata zaidi ya zamani wale fans wenzangu.
Hii ni kwa wale wanaodhani watu tuko hapa kwa ajili ya ile complimentary aliyotoa Matola....
Iko wazi hakuna asiyejua kua mimi ni die hard fan wa King Kiba,nitaendelea kumsapoti kwa nguvu zangu zote sio kwa sababu ya zawadi....thou nilikua naitamani hatariiii...lol
Naamini tutaendelea kua na mshikamano kama/hata zaidi ya zamani wale fans wenzangu.
Nimekubali mpendwa....next time zamu yangu,ntaandaa betri ya ziada!Hahahaha pole sana Buku saba FC,usijali ila ujue kuwa siku zote Asobahati habahatishi.
dawa yake ni kumpuuza bibie....Wanakeraje sasa Uzi wa kiba lidude linaleta mambo ya domo yanahusikaje atakayeleta habari za domo kumpuuzia tu
:violin::clap2::clap2::clap2:mashairi ya mwana yamejaa ujumbe mzito sana
dawa yake ni kumpuuza bibie....