Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ally k 4real namkubali sana tungo zke zimesimama pia sauti anayo akipata management nzuri atafika mbali sana,wazee w location kila cku kuimba mapenz 2 n kutafuta kick z kijingajinga

hili neno mkuu, management kwa msanii ni suala la kuangalia sn haswa kwa muziki wa bongo ulojaa fitna za kila aina, Kiba ni mwanamuziki mzuri mnoo ila management ndio hana nzuri, hilo lazima alifanyie kazi.
 
Ndio hvyo akipata management nzuri atakua tisho sana manwater anaweza istoshe kiba ana exposure y kutosha.cyo kolabo z waniger mtu anapiga kelele n kujiona yeye ndio yeye,kiba akipata support n hatare sana narudia tena sana,tumpe support ze2
 
So what??Hayo yote yawe ila sie kwa Kiba tumefikaa!!tungo matata,nyimbo tamu,ustaarabu,mziki usiochuja mengine hayo ndo ayafanyie kaziii

video miezi minne ilopita!!!!!! mbona km mchelemchele?? alafu analinganisha video views za enzi hizooo hata mie bado natumia kitochi na video za leo jamani!!!
 
video miezi minne ilopita!!!!!! mbona km mchelemchele?? alafu analinganisha video views za enzi hizooo hata mie bado natumia kitochi na video za leo jamani!!!

Shoga!!!enzi hizo hata sijui you tube ni nini....anafananisha na video zilizotoka digital
Kama anataka ushindani kwa nini asizishindanishe na za davido?
 
Ubishani huu tulishaumaliza Leaders club shaidi ni TI na Davido, hizo nyingine ni porojo tu.

Kha!ndio maana nakupendaga,jibu lako moja tu latosha...nimeipenda hiyo ya shahidi davido,ile siku jamaa alibaki mdomo wazi maana ndomo hua anajitapa huko kwao kua yeye ndiye mfalme huku....hahahaaaa ndio maana ndomo alilia back staje kwa aibu...
 
Nachukia sana mtu anayeweka link ya uzi mwingine kwenye uzi mwingine. Hakuna mwenye mipaka ya kutoingia uzi wowote hapa JF. Akiingia tu JF atauona na akitaka ataingia kuusoma.
Ova

Huchukii kama mimi Mdakuzi hasa anayeleta habari za ndomo humu....sipati picha tungekua tunachart face to face humu ningeua mtu!hahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kwa wale wanaodhani watu tuko hapa kwa ajili ya ile complimentary aliyotoa Matola....
Iko wazi hakuna asiyejua kua mimi ni die hard fan wa King Kiba,nitaendelea kumsapoti kwa nguvu zangu zote sio kwa sababu ya zawadi....thou nilikua naitamani hatariiii...lol
Naamini tutaendelea kua na mshikamano kama/hata zaidi ya zamani wale fans wenzangu.
 
Last edited by a moderator:
Huchukii kama mimi Mdakuzi hasa anayeleta habari za ndomo humu....sipati picha tungekua tunachart face to face humu ningeua mtu!hahaaaaa

Wanakeraje sasa Uzi wa kiba lidude linaleta mambo ya domo yanahusikaje atakayeleta habari za domo kumpuuzia tu
 
Last edited by a moderator:
Nifah,tupo pamoja,tupo hapa kumtia moyo,na kumshauri Kiba katika kila hali ili mziki wake uinuke!Umoja ni nguvu,hapana chezea nguvu ya umoja jamani,sasa na nyie mkiona kuna nzi wamevamia kuharibu mazingira tuwe tunasaidiana kufukuza hao nzi na mbung'o mie siwezi vumilia mvamizi ajipatie sifa za kijinga home kwangu!!
 
Hii ni kwa wale wanaodhani watu tuko hapa kwa ajili ya ile complimentary aliyotoa Matola....
Iko wazi hakuna asiyejua kua mimi ni die hard fan wa King Kiba,nitaendelea kumsapoti kwa nguvu zangu zote sio kwa sababu ya zawadi....thou nilikua naitamani hatariiii...lol
Naamini tutaendelea kua na mshikamano kama/hata zaidi ya zamani wale fans wenzangu.
Nimechagua moja mrembo kubaki kwa watoto wa town.......Nakupendaje yaani!Hongera kwa mshindi ingawa mashabiki wote Ally Kiba ni washindi....
 
Hii ni kwa wale wanaodhani watu tuko hapa kwa ajili ya ile complimentary aliyotoa Matola....
Iko wazi hakuna asiyejua kua mimi ni die hard fan wa King Kiba,nitaendelea kumsapoti kwa nguvu zangu zote sio kwa sababu ya zawadi....thou nilikua naitamani hatariiii...lol
Naamini tutaendelea kua na mshikamano kama/hata zaidi ya zamani wale fans wenzangu.

Kaeni mkao wa kura kwa phase 2 promo hii itakuwa unbeatable by the way Moderator nimeshawasiliana naye amethibitisha mshindi ni geniveros, naomba mlete hapa nimkabidhi zawadi yake maana Moderator anaweka usiku kuja kumtangaza rasmi lakini uzuri wote mnamjuwa mshindi sasa sioni sababu ya kusubiri kumpa zawadi yake.
 
Attachments

  • 1416816994299.jpg
    1416816994299.jpg
    35.9 KB · Views: 41
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom