Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Tuwekee basi hata link ya You Tube.....si unajua tena watz ni matomaso?

Mwisho utataka nikulipie hata DSTV. Kila unayedai ni tomaso mwambie, mwambie akitembea mtaani akiona nyumba ina dish la DSTV awaulize wenye nyumba kama aliona wakati BBA Housemates wako disco. Awaulize ni wimbo upi wa Bongo ambao housemates wote walicheza? Tena walicheza kwa mduara.
Ova
 
Mmh!Sasa mwenzio kaomba umpe link .....duuh kama majibu ndo hayo naogopa nami kuuliza swali!
Ally Kiba 4real fans
 
Namkubali sana Ali k. Ila ushaur wangu aendane na kasi ya diamond kila baada ya miez 3 atoe ngoma mpya
 
Nafikiri cha msingi kwanza ni kuisuka management kwanza na kitengo cha PR awepo mtu anayeendana na teknolojia tuliyomo.

Kutoa nyimbo nyingi kama Yamoto band si target nzuri kibiashara, unapofanya Muziki licha ya kuburudish lakini target ni kumake money pia.
 
huu uzi nimegundua wachangiaji wengi watoto wa daslaam na arusha kidogo wale wajanja wajanja na kama kuna wa mikoani basi wajanja sana!tofauti na ule uzi wa yule dogo mwingine full wagoroko
 
yani ile neno wagoroko tuu umenifanya nicheke mpaka mtoto kaamka umenikumbusha mbali kweli daah
we mjamaa mhuni sana wewee
 
Back
Top Bottom