Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Invisible najuwa uko busy kuyashughurikia majizi ya Escrow ila tunakuomba utupatie moderator wa kumkabidhi zawadi ya mshindi ili amtangaze aliyeshinda na kumpa zawadi yake leo leo
 
Last edited by a moderator:
Hongera Gen,ningechukia wangepata hao wanaodandia treni kwa mbele.hongera sana my dear.
 
Naskiza eastafrica radio kipindi cha eastafrica breakfast wanasema mwana ni song of da year, kiba ni kichwa cku zote nyimbo zke zina ujumbe

yaani huyu dogo mashairi yake makali sn, kwa utunzi tu nampa 100 kuimba sasa uwiiiii ndio ananimaliza kabisaaa, akaze buti tu jamani wala acpanieee km anashindana na mtu yeye afanye tu his best n as always atabamba tu.
 
Aaaarrggg hivi nyie hamna waume nini?asubuhi yote hiyo???uwiiiii
Hongera my dear,lakini zifuatazo nitazikomba zote dadadeki

mamii ulikuwa wapi? chezea bando wewe mume mwenyewe inabidi aelewe tu, kazi imenikosesha bando hvhv, haahaaaa ila bora amepata wa nyumbani maana ningeandamana aisee
 
yaani huyu dogo mashairi yake makali sn, kwa utunzi tu nampa 100 kuimba sasa uwiiiii ndio ananimaliza kabisaaa, akaze buti tu jamani wala acpanieee km anashindana na mtu yeye afanye tu his best n as always atabamba tu.

Ally k 4real namkubali sana tungo zke zimesimama pia sauti anayo akipata management nzuri atafika mbali sana,wazee w location kila cku kuimba mapenz 2 n kutafuta kick z kijingajinga
 
Back
Top Bottom